Hili ni tangazo kuwa mganga wake ni kiboko. Inaamini Wapemba kwa mambo hayo hawana mpinzani, sasa kama mganga wake kawamudu ina maana ni balaa huyu mganga.
Tangazo hilo halina tofauti na wale wanaojifanya wamekosea na kukutumia sms wakimshukiru na kumsifia mganga fulani kwa kiwakamilishia shida fulani. Wajinga ndio waliwao.