Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 20,919
- 59,861
Kwasabu gani sasa?Shauri zako bidada 😂
Ukinikuta kwenye shirika la umma, sikuhudumii 😎
Kwasabu gani sasa?Shauri zako bidada 😂
Ukinikuta kwenye shirika la umma, sikuhudumii 😎
Hiyo ndo dawa ya chuma uleteYani hii kazi yangu nnaamdika kila kitu😂
Ww c unapenda kususa kutafuta kazi serikalini, na mm ntakususia kukupa huduma ya serikali 😎Kwasabu gani sasa?
Aah wee mlivyo na njaa, buku teni tu unaachia huduma!😅Ww c unapenda kususa kutafuta kazi serikalini, na mm ntakususia kukupa huduma ya serikali 😎
Maisha ya kizamani hayoKila hela unayoingiza na kutoka andika kwenye daftar hata kama mia andikia
Kwahyo kuweka rekod ya mauzo ( kinachoingia na kutoka) ni maisha ya kizaman? Watu wa vijijin mnashda sanaMaisha ya kizamani hayo
Kutumia chumvi pekee bila kuwa na mamlaka ya kiroho huwezi kufanikiwa kitu. Basi sema kwa Jina la Yesu navunja nguvu zote za chumaulete kwenye maisha yangu. Ita Damu ya Yesu mara 7 na sema natakasa uchumi wangu kwa Damu ya Yesu. Rudia kuliita Jina la Yesu na Damu ya Yesu na kuelekeza nguvu hizi za ajabu kwenye roho ya chumaulete ukitamka kuivunja kwa Jina la Yesu. Usisahau kunipa mrejesho. Pia funika uchumi na fedha zako kwa Damu ya Yesu kila wakati.Nisaidieni mawazo jamani.
Sijawahi kwenda kwa mganga.
Juzi natoka geto kwenda kwenye kibanda changu nikakutana na buku mbili njiani. Nikarudi geto nikachukua chumvi ya mawe nikaimwagia nikaiokota. Kwanzia hapi kila jioni nikipiga hesabu. Pesa zinapelea. Pesa ukirudia kuhesabu zunapelea tena kila siku. Nisaidieni kabla sijaanza kwenda sehem zisizo sahihi.
Ni akili hizo, imeenda kunya choo cha stendi unatoa karatsi na kalamu unaandika, nimekunya nmelipa SHILINGI mia tatu?Kwahyo kuweka rekod ya mauzo ( kinachoingia na kutoka) ni maisha ya kizaman? Watu wa vijijin mnashda sana
GudubaiNi akili hizo, imeenda kunya choo cha stendi unatoa karatsi na kalamu unaandika, nimekunya nmelipa SHILINGI mia tatu?