donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Kuna uhalisia kweli wa hii plate no na chuma yenyewe au NI system 😄😄😄
Hahaha kweli mkuu sema wushu imelala hapa, nina dan mbiliMjomba kama imepakI nyumbani kwako apo mbio zikuokoe sikuambii Tena!!!
Aisee ni balaaUwezekano upo tena ni mkubwa sana. Wajuba wanamiliki machuma yanapaki home tu yapo full tank kijana wa kazi na mlinzi wanalipwa kwa kuliwasha na kupiga race tu.
Umeangalia namba ya gari na kulinganisha model hiyo imetoka wakati namba zimefika wapi??Uwezekano upo tena ni mkubwa sana. Wajuba wanamiliki machuma yanapaki home tu yapo full tank kijana wa kazi na mlinzi wanalipwa kwa kuliwasha na kupiga race tu.
Amini nakupangaLa kwao hilo.....