Chuma cha JEKI kimetengenezwaje

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Habari wanajamvi

Leo naomba nifahamishwe kuhusu hiki chuma cha JEKI ambacho kinanyanyua gari ambalo haliendani na umbo la kifaa hiki. Hivi chuma cha JEKI kimetengenezwa na material gani maana mambo kinayofanya nastaajabu.

Nawasilisha
 
Ni hydraulic hiyo, hiyo ndiyo hunyanyua tipa, hunyanya magari, hutembeza vifaru achana nayo, huyo anayeitwa Mungu hapana mchezo!
 
Aisee halafu kweli.
Wale wa mechanics/physics plz tuelewesheni kwa mtiririko mzuri na kwa lugha nyepesi.

If this is possible...then naamini haishindikani kujenga a million dollar empire from small amount of funds in a different field with special financial techniques.

Just Thinking out Loud.
 
Sasa mkisema hydrolic sijui wengine hatuelewi, mtueleweshe taratibu
 
Back
Top Bottom