Chukuchuku

Huo ugali ulivyokomaa kama zege, lazima enzymes zifanye mgomo kwa saa 24.
 
Eeeeh bwana eeeh!
Mimi hilo chukuchuku tu [emoji39][emoji39][emoji39]
Halafu kitu cha kwiyo kinaonekana cha kienyeji hicho...Uwiiiiii!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We cheka tu, siku zikifanya mgomo na maandamano yasiyo na ukomo kwa saa 24 we unasiki btruu...bulu bulu huko tumboni ukidhani ni minyoo au gas kumbe ni nyimbo za maandamano ya enzymes yanayo anzia kwenye stomach hadi rectumπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
dah! huku kutamanishana... wengine nyama kula mpk sikukuu kwanini mnatuweka majaribuni..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…