Chukua yanayokufaa

Ukweli wa Maisha

Ukweli nambari 1:
Hakuna mtu halisi katika ulimwengu huu isipokuwa Mama.

Ukweli no. 2:
Masikini hana marafiki
Ukweli Na. 3
Watu hawapendi mawazo mazuri wanapenda sura nzuri
Ukweli no 4:
Watu wanaheshimu pesa sio mtu.

Ukweli no 5:
Mtu unayempenda zaidi, atakuumiza zaidi!

Ukweli nambari 6:
Ukweli ni Rahisi, Lakini, Wakati unajaribu Kuuelezea. Inakuwa Ngumu.

Ukweli no 7:
Ukiwa na furaha unafurahia muziki" lakini "unapokuwa na huzuni, unaelewa maneno"
Ukweli no 8:
KATIKA MAISHA Mambo mawili yanakufafanua "
subra yako" wakati huna kitu na "Mtazamo wako" wakati una kila kitu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…