Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

Polisi Kanda Maalum ya DSM, wanamshikilia Halima Juma mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Chalinze, kwa tuhuma za wizi wa fedha kwenye mashine za kutolea fedha (ATM).



Kamanda Mambosasa amesema Askari wanaolinda Benki walimtilia mashaka Binti huyo aliyekuwa kwenye chumba cha ATM ya benki moja Mbagala akijifanya kuwasaidia Wazee na Wastaafu wasiojua kutumia mashine za ATM vizuri, lakini lengo lake ni kuchukua namba za siri za Wastaafu na Wazee hao na kisha kuwabadilishia ATM kadi zao na baadae kuwaibia fedha kwenye akaunti zao kwa kutumia kadi halisi za wahusika baada ya kuwabadilishia kadi na kuchukua namba za siri.


Mtuhumiwa huyo alikamatwa na Askari hao wanaolinda Benki hiyo na alipopekuliwa alikutwa na ATM kadi 23 za watu mbalimbali za Benki tofautitofauti zikiwa katika pochi yake huku akiwa amezificha kwenye sehemu zake za siri (ukeni.
Uke wake unaingiza ATM zaidi ya 18?? Kweli ana PANGO LA AMBONI.
 
Yan Hawa wizi wa matukio ya kutisha huwa nawawazia positive yaani hata wawepo kwenye movie flan hv au kuwapa kitengo Cha kujishughulikia wizi wao kwa wao unajua wizi nao ni kipaji ila ni kipaji haramu Kuna mwizi alihojiwa akadai akili anayotumia kuibia ni zaidi hata ya digree i wish to see her kwenye series ya lacasa de papel akituwakilisha kwa jina la dodoma
 
Hujaeleweka vizuri '"zikiwa katika pochi yake huku akiwa amezificha kwenye sehemu zake za siri (ukeni.'"...
 
ndio mana nasemaga k acheni iitwe k usitishwe na wanaosema una kibamia

hiyo area naifananishaga na condom, hv nani kashawahi jaza condom maji aseme inaingia ndoo ngapi?

acheni kabisa,mi nlijaza ndoo ndogo mbili na mzigo ukawa unapokea tu.
 
Back
Top Bottom