Markanthorn
Member
- Oct 20, 2014
- 19
- 29
Kuwa makini usithubutu kununua Simu hizi zenye sticker Chini juu na Ndani ya Simu huwa ni Simu zilizofunguliwa kubadilishwa housing na kuwa na muonekano Kama mpya ila sio Simu mpya na vile vile zilishapitwa na wakati hazitengenezwi tena.
Ni kutoka China na Dubai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutoka China na Dubai.
Sent using Jamii Forums mobile app