youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Yule demu aliyekuliza kisa kakuomba umnunulie kaPasso mmeishia wapi?
Kwa mistari hiyo, atakuchoka kama watanzania tulivoichoka ccm
Kwa mistari hiyo, atakuchoka kama watanzania tulivoichoka ccm
Ndio Uwezo Wake Ulipoishia, Afanyeje??
TWAWEZA ni muunganiko wa visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika visiwani.
Za kuambiwa changanya na zako...
Usiwe mkurupukaji kama pombe push ups .ukibishiwa kuwa una mkono wa sweta utawadhibitishia jukwaani wananchi ulivyotahili. Usifanye vituko kuwafurahisha wat
Mimi nilicho Gundua ni kuwa Magufuli ni mtu wa ovyo sana. Hata ukimsikiliza utagundua kuwa ni mtu wa kukariri, kukurupuka na kutenda kwa sifa.Ni bora Kikwete abaki madarakani kuliko Magufuli. He is a mess..Usiwe mkurupukaji kama pombe push ups .ukibishiwa kuwa una mkono wa sweta utawadhibitishia jukwaani wananchi ulivyotahili. Usifanye vituko kuwafurahisha wat
Mimi nilicho Gundua ni kuwa Magufuli ni mtu wa ovyo sana. Hata ukimsikiliza utagundua kuwa ni mtu wa kukariri, kukurupuka na kutenda kwa sifa.Ni bora Kikwete abaki madarakani kuliko Magufuli. He is a mess..
NAKupandisha then nakushusha...mate ptuu chini
mi nakushusha then nakupandisha unabaki kuning'inia tu mama.