Chukua mkopo kama hutaki tuachane

amu una raha ? huyo wako hana ndugu uniunganishe nae?
Kwenye familia moja, mmoja padre, mwingine shehe, mwingine mvuta bangi, mwingine ststa, mwngine dereva wa maloli, mwngine mchungaji.... Sasa wewe unataka uunganishwe na yupi..??
 
Ukiwa na 1 akakuongezea 2 jumla 3.
Mbaya kukaa kusubiri/kulazimisha kama bi dada hapo au kumtegemea mtu. Smile hujapata mwanaume rijali anayejua kulea mwanamke siku ukimpata hata maandishi yako yatabadilika
mi wala sitaki kitu cha mtu bwana ..nitafight mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
We mpe tu bhana. Kwani huyo demu amekupatia vingapi na mara ngapi mpaka sasa? There is no free lunch in the World. Halafu ukileta thread inayokuhusu wewe usiwe unasingizia ni jamaa yako kumbe ni wewe mwenyewe.
 
Huyo she wake kilaza sana analake jambo jamaa awee macho
 
Kwenye familia moja, mmoja padre, mwingine shehe, mwingine mvuta bangi, mwingine ststa, mwngine dereva wa maloli, mwngine mchungaji.... Sasa wewe unataka uunganishwe na yupi..??
mvuta bange
 
Wanawake mmezidi ujambazi hamuogopi bastola.
cc amu
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na 1 akakuongezea 2 jumla 3.
Mbaya kukaa kusubiri/kulazimisha kama bi dada hapo au kumtegemea mtu. Smile hujapata mwanaume rijali anayejua kulea mwanamke siku ukimpata hata maandishi yako yatabadilika
teh teh ngoja nisubiri na mimi siku yangu bwana maana me hata vocha hadi ninunue mwenyewe
 

Huwa nakeleka sana mtoto wa kiume kupenda mseleleko, raha ya Mwanaume kutumika na humpendae hata mambo yakiwa si mazuri Mwanamke huelewa na anakupa pocket money na hakugandi anakwambia nenda kajumuike na marafiki zako.

Bahati mbaya sana mapenzi hayako fair, mwanamke mwema anakutana na lisanii tu Yahya na mara nyingi mwanaume Gentleman naye anakutana na Goal digger, basi maisha ni vululuvululu tu hata havisomeki.

I hate Wanaume kama mabinti, kuna jinga moja nalo lilifunga ndoa kabisa na mdogo wangu wa kike likidhani Familia tutalimegea sehemu ya ukwasi wetu kumbe wapi matokeo yake ndoa vipandevipande. Waswahili bana!
 
yaani watu wanalazimisha gari utadhani daladala zimeisha bwana?

Yani si unajua kuuza sura....anaona akiwa na gari ndo atauza vzuri...wakati maisha ni kujipanga...leo uko chini kesho juu...
 
yaani huko tuendako mabinti wa familia za kimaskini kuolewa itakuwa shida sana maana wanaume wengi bwana wanaangalia alie nacho! kuna watu hawaoi kwa upendo kabisa wanatanguliza fursa mbele! mi nilimuuliza jamaa kwani huwezi kuoa ukiwa nyumba ya kupanga? akasema ooh sio vizuri kama sio vizuri si ajenge why mimi ndo nimjengee ! kama ningekuwa na hela ya kujenga si ningejenga yangu? halafu hii mikopo ya muda mrefu ilivo eti nakatwa marejesho sijui miaka mitano halafu jamaa hata asinioe si ningekuwa chizi huku mjini? ndo maana nikaamua kukituliza zangu ndugu yangu liwalo na liwe!
wanaume nyie niwakuogopa sana ujue khaa! sipendi kuwaza ingekuwaje ningemkubalia daah ! eeheheeeee
 
Shosti we si unawachekaga maticha?yupo mmoja mwalimu civics
mi nawaheshimu sana walimu...ujue home kwetu tumepishana sana kipindi nipo la tano kuna sister wangu wa tatu ni mwalimu alishamaliza college nilisoma shule aliyokuwa anafundisha .ndo alinisaidia nikawa hapa leo.
kuhusu kudate mwalimu mi napita tu ila nawaheshimu sana
 

Sizani kama kuna ukweli ktk hayo uyasemayo, na kama ni kweli, then huyo hakustahili kuitwa mwanaume. Hata hivo, pole sana kamausemayo ni ya kweli.
 
Yani si unajua kuuza sura....anaona akiwa na gari ndo atauza vzuri...wakati maisha ni kujipanga...leo uko chini kesho juu...
sura zenyewe hata haziuziki kwa hela ya mawazo ujue
 
We mpe tu bhana. Kwani huyo demu amekupatia vingapi na mara ngapi mpaka sasa? There is no free lunch in the World. Halafu ukileta thread inayokuhusu wewe usiwe unasingizia ni jamaa yako kumbe ni wewe mwenyewe.

Mkuu
mimi nimeoa mwanamke na nina familia nafurahi hata hana noma nikirudi home nabebwa mara bafuni mara naogeshwa yaani full maraha tu ubachara niliuaga zamani nikaacha kuhonga nahonga mtu ninayeishi naye mwenyewena siyo kama hao siku hizi nawahi kurudi home nikacheke na wife na kubebwa
nadhani umenielewa
 
Wanaume kweli wanakutana na vituko mjini
 
Sizani kama kuna ukweli ktk hayo uyasemayo, na kama ni kweli, then huyo hakustahili kuitwa mwanaume. Hata hivo, pole sana kamausemayo ni ya kweli.
una akili kweli wewe? kinachokufanya ubishe ni nini? kama wewe haupo hivo wengine wanafanya ..wala sio kwangu tu .mbona wadada kibao mjini hapa wamelizwa na wanaume ? au unajifanya hujawai kuona? be real mkuu !
 

Personal siwezi kumzimia Mwanamke kwa sababu za kiuchumi, sijakulia hivyo na sijawahi for sure kufadhiriwa na Mwanamke hata kama ananizidi kipato hawezi kulijuwa hilo na ataamini siku zote mimi namzidi kipato.

Hayo ndio maisha niliyochaguwa kuishi, I value woman dignity regardless her background or family wealthy. Hayo mimi hayanihusu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…