Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
Itunze moyoniHhahhhah No Reply
Itunze moyoniHhahhhah No Reply
Mwanangu umeletf group la waenda mbinguniChukua mic Tuma Salamu Heading Imenisisimua Kidogo Nilijua Mic Yetu Ile Natural
nilitaka nishangae dear ex hajanitaja😊,,
Sema nini inaonekana mtumaji salamu expert ila mm hujanitumiaItunze moyoni
Mamdogo dunia inazunguka bado..!!Ba mdogo ni leo tu nimeteleza siko hivo nakuhakikishia 😀😀
Haha yan bwana wako hajakutaja unafurahia kutajwa na ex🤣🤣🤣nilitaka nishangae dear ex hajanitaja😊,,
NtajitahidiMamdogo dunia inazunguka bado..!!
Kwani we Nagongelea, inakuwaje utake kutumika..!!??Sema nini inaonekana mtumaji salamu expert ila mm hujanitumia
How????Kwani we Nagongelea, inakuwaje utake kutumika..!!??
Labda Leejay49 amekumbuka mic yakoHaha yan bwana wako hajakutaja unafurahia kutajwa na ex🤣🤣🤣
nimetuma salamu tu
Ngalikihinja 😅😅 salamu kwako😊👋Labda Leejay49 amekumbuka mic yako
Aki nimeshtuka hilo jina la uzi, tunahitaji wokovu ndugu😂
How????