Chukua hela yako unayonidai

Chukua hela yako unayonidai

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Abdallah alienda kwa rafikiye Rashidi akamueleza shida yake na kumwambia amkopeshe sh. 300,000.00 ili aende Handeni kutatua matatizo yake ya kifamilia: Rashidi bila hiyana akamkopesha 300,000 ila akamwambia naye anasafari ya Handeni twende wote.

wakati wapo safarini walipofika eneo ambalo kwa sasa linatambulika kama mtaji wa maskini (kabla ya Sindeni) wakatokea majambazi wakawaamulu kutoa fedha na vitu vyote vya thamani walivyokuwa navyo kama wanapenda kuishi.
Ndipo Abdallah alipoamua kumwambia Rashidi chukua hela yako sh. 300,000 unayonidai
 
Kwa okesheni kama hii ningemwambia tugawane hasara Bana.. Kha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom