R rafikimkweli JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 349 Reaction score 121 Sep 15, 2013 #1 Unakuta mnakua karibu na mwanamke, basi usipoonesha interest kwake na kuanza kuwa karibu na mwingine urafiki unageuka kua uadui mkubwa sana tena wa hatari. Ukipita msunyo, mara utamaliza mtaa mzima. Kwahiyo ni lazima kupenda hata pale usipo penda??
Unakuta mnakua karibu na mwanamke, basi usipoonesha interest kwake na kuanza kuwa karibu na mwingine urafiki unageuka kua uadui mkubwa sana tena wa hatari. Ukipita msunyo, mara utamaliza mtaa mzima. Kwahiyo ni lazima kupenda hata pale usipo penda??
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Sep 15, 2013 #2 ^^ Ukaribu ulihusu nini..urafiki tu au? ^^
R rafikimkweli JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 349 Reaction score 121 Sep 15, 2013 Thread starter #3 Himidini said: ^^ Ukaribu ulihusu nini..urafiki tu au? ^^ Click to expand... binadamu mkiwa eneo moja lazima muwe na mahusiano ya kawaida kama ilivyo hapa JF wote ni kama familia, tunashirikiana
Himidini said: ^^ Ukaribu ulihusu nini..urafiki tu au? ^^ Click to expand... binadamu mkiwa eneo moja lazima muwe na mahusiano ya kawaida kama ilivyo hapa JF wote ni kama familia, tunashirikiana