Kuzindoa sio rahisi labda kuzipunguza. Hivi vitu vinakuwa ndani ya mwanadamu, sio rahisi kumsimamia mwanadamu ni bora usimamie pesa kuliko mwanadamu. Ila chakufanya tunatakiwa kupunguza manyanyaso kwa watumishi, majungu, umbea, dhuluma, na mengineyo labda itasaidia kupunguza chuki lakini sio kuondoa