Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.
Mkuu wangu, sasa kama Kilimanjaro zinakarabatiwa shule 104 kati ya shule 300 na mkoa mwingine zikakarabatiwa 50 kati ya shule 80 kuna ubaya au upendeleo gani hapo? Bahati nzuri sana waziri na makamu wake wote si wa mkoa huo. Anyway, mti wenye matunda mengi ndio unaorushiwa mawe mengi zaidi.....

Mfno Wilaya ya Mwanga pekee ina shule za sekondar zaidi ya 50 ni juhudi tu.
 
Ticha wangu wa History 2 A-level alikuwa mchaga product ya Majengo Sec, siwezi sahau mchango wake ktk taaluma yangu na Mungu azidi kumpa nguvu huko alipo.

OVER.
 
Mimi nashangaa sana Kimara wamejaa wachaga lakini kila siku ujambazi wenyewe kwa wenyewe.

Ritz,

Acha ubaguzi mkuu maana level yako iko juu zaidi ya hii mentality uliyoona hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hao wanaokwenda kuoa wachaga wandae na majeneza hakuna llt hapa msijisifu mbona kila kukicha wanawake wa kichaga wanapigwa chini kwanza wanafiki nnje kondoo ndani chui washarati wanaweza tembea na mashemeji na mababa mkwe huku wameinamisha vichwa chini kujifanya wana adabu sana kumbe unafiki tu mbona mmegundulika nyie wachaga kama ndoa zipo nyingi tu wanawake kutoka makabila tofauti wanaolewa acheni kujifagilia hapa sememeni mambo ya msingi mbona hamjisifu kwa ujambazi na wizi wa mali ya umma maofisini hamna hata aibu nyie watumia jina mungu kwa unafiki.
 
Mitaani nyie chaga ni hatari mtu akiwa na uwezo zaidi yenu mnamtenga na kumkalia vikao kwenye mabaa kumjengea majungu mitaa mliokaa nyie ni majungu wanaume kwa wanawake utawasikia yesu kulitaja bure jina la mwenye heri na kumiliki mabaa vijiwe vya kupanga biashara haramu na wizi ujambazi tu
 
Nadhani mleta thread una tatizo la ukabila. Naona sasa mnaanza kuonja joto ya mafanikio ya makabila mengine sehemu nyingine za nchi. Hakuna asiyejua kama mtu ukijitahidi katika kujiletea maendeleo unasonga mbele kama ambavyo wachaga, wahaya, wanyakyusa na baadhi ya watu katika makabila mengine. Lakini pale ambapo unapewa dhamana ya kuongoza Taasisi ya Umma na ukaonyesha upendeleo wa wazi watu wanaona, na siyo kwamba watu wote ni wapumbavu ingawa kuna wakati wapo wa namna hiyo. Mabadiliko unayoyaona ya wachaga kuanza kukosa fursa, siyo kwamba wanachukiwa ila na sehemu nyingine nazo zinasonga mbele tena kwa kasi sana. Wahaya walisemwa sana, wakajirekibisha lakini pia wakagundua kwamba ushindani kwa sasa ni mkubwa hivyo wametawanyika sana katika mikoa mbalimbali na sana nje ya nchi wengine ni ma-Proffesors katika vyuo vya nje ya Nchi. Unaona Wahehe, Wangoni na Wasukuma na wengine wanakuja juu sana katika Elimu, Ingawa Wahehe nao wanamulikwa kwa kajitabia kama hako ka Undugunazation. Hivyo ni wazi kwamba baadaye yale mambo ya kumkuta Mchaga ndiye Mkurugenzi na akatumia nafac hiyo kuwachomekachomeka ndugu hayatakuwepo kama walivyopigiwa kelele akina Mramba. Lakini pia maendeleo ya makabila mengine ni maendeleo ya Taifa Zima.
 
Hizo ni chuki tu dhidi ya wachaga,mm kwetu kusini lakini nimesoma secondary pale umbwe na old moshi,jinsi nilivyokua na perception mbaya dhidi ya wachaga nikaja kugundua ni watu wazuri sana pia nilikua naishi na mchaga na cyo ndugu yangu kwa kipindi cha likizo mpaka na maliza.
 
Naona wachaga wamepewa nafasi ya kujitetea .........naona wanavyotiririka. Nje ya nchi inaaminika kuwa ukimkuta mtz na kosa ukamruhusu ajitetee anakushinda so solution ni kumhukum tu. Haya machaga na matu mengine kabisa
 
Husda na roho mbaya, na chuki zitakuuwa... Wenyewe wanasonga mbele..
Mitaani nyie chaga ni hatari mtu akiwa na uwezo zaidi yenu mnamtenga na kumkalia vikao kwenye mabaa kumjengea majungu mitaa mliokaa nyie ni majungu wanaume kwa wanawake utawasikia yesu kulitaja bure jina la mwenye heri na kumiliki mabaa vijiwe vya kupanga biashara haramu na wizi ujambazi tu
 
Hili swala la ukabila ni debate pana sana ambayo katika jamii yenye misingi imara kihoja, inafaa kuongelewa lakini unfortunate, for political correctness in Tanzania, hii topic HAITAKIWI!!.

Ukabila ni nini kwa Tanzania?

Kuna mahusiano gani kati ya ukabila kwenye elimu, ajira na kipato?

Nini kinafanya kuwepo na ukabila Tanzania (kama upo).

Kwa nini baadhi ya jamii inafikiria Wachaga ni wakabila?
 
Wivu mwingine huu tena,
Mkuu, wachaga wanajua kujinyima,
wakati wewe una mshahara sawa na wa kwake, kabla mwisho wa mwezi haujafika wewe tayari umeshaumaliza mshahara wako mawazoni,..yeye anawaza pa kuuweka ili uongeze income yake ya mwezi ujao,,au kama akikosa investment ya haraka haraka hela inakaa tu kwenye account..hapo ya kwako umeshahonga, na gari umenunua ya cc 3500, na ulichukulia mkopo kwa hivyo hela yako inavuja tu kila wakati unaingia sheli kumtajirisha mwarabu..wakati mwenzio ameamua kununua vitz ya cc 990 hapo mafuta inanusa tu,,,inayobaki anawekeza...obviously lazima utamwita jambazi baadaye...kalagabaho!

i second you
 
Wakabila wexi wanafiki wanaroho ya kwa nimi wanauma na kupuliza hayo yako wazi mjisifu kwa wasowajua ninyi mengine tunawahifafhi maana aibu tupu tunawajua tunawaifadhi
 
Wakabila wexi wanafiki wanaroho ya kwa nimi wanauma na kupuliza hayo yako wazi mjisifu kwa wasowajua ninyi mengine tunawahifafhi maana aibu tupu tunawajua tunawaifadhi

hata kama unawachukia wachaga andika vizuri....ulishawahi jiuliza chuki iliyopo kwa Israel ila bado wanasonga
 
Wachaga wabaguzi sana tena sana, hawa wananiwekea vikwazo mpaka leo sitimizi ndoto za kumuoa nimtakae kisa uchaga na ukatoliki. Pumbafu wachaga kabisa.
 
Wanavyopenda ofa za bia sasa yaani ukitokea tu kwenye vigrosali vyao utasikia ninunulie bia.
Hata aibu hawana hawatazami unakunywa au haunywi wao ninunulie bia.
 
Wakati mwingine wakati wa kuandika huwe unaushirikisha ubongo wako. Wapi wachanga wamenyimwa haki ya kuingia kwenye siasa au unaropoko tu Mrema ni kiongozi TLP mchaga, Mbatia kiongozi wa NCCR Mageuzi mchaga, Mbowe kiongozi wa Chadema mchaga, acha kuropoka.
Mbona hujaweza CCM?
 
Mimi nashangaa sana Kimara wamejaa wachaga lakini kila siku ujambazi wenyewe kwa wenyewe.
Unahangaika sana wewe brainless km CCM walivyokuwa wakijaribu kusema watu wawseme wapi katiba ina mapungufu parekebishwe..mpaka hapa hujaona kuwa hizo nguvu baba na babu zenu walizotumia kugombania CCM wangetumia ktk shughuli halali leo mgekuwa huru bina wizi na upendeleo. Sasa wachaga wamejaa kila sekta za waliosoma na waliosoma.Mbaya wamewapiga stop hapo Kimaa upasemapo...mkianza ondoshwa katikati y amji muende Kimanzi..na mkichelewa wanawahi kisarawe ....kuna mmoja anachimba madini kule Lindi aliniambia ardhi ni safi sana..alitupia tuu mgomba wa kubipu pakatokak ndizi kubwa zaidi ya Mkapa...tayari wanakwenda anzisha koloni lao.Alibeba vito vya migomba kibao...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom