Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Messages
14,588
Points
2,000

Sibonike

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2010
14,588 2,000
Mbaya ..wachaga ambao ni effective hawapo Kilimanjaro.Na hivyo kuifanya serikali kushindwa wabana wachaga...experice yangu inaonyesha..Hata hao wanasiasa wenyewe,wanakata matawi waliyosimamia kwani wengi wameolewa na wachaga(waawake+wanaume).Pamoja na mafanikio ya muda mfupi mwishowe wachaga huwa crucial sana ktk survival yao kiuchumi na kimipango.

Hata watafiti wa kijerumani walipokuja waliona kitu tofauti sana kule..walikuwa utamaduni ambao haukuwa sumbua sana kuwapa concept ya "Mungu Moja" na ethics fulani ambzo zina universala values.Pia social bondaje yao ilikuwa na maana sana.

Wachaga wana utamaduni wa kuthamini Nyumbani na mahusiano yao kudumishwa ktk mikusanyiko ambayo watu wengine huidharau ila ni powerful.ktk kuongea na watu ktk mikoa mingi pamoja na kuwachukia wachaga kuna vitu ambvyo mud amfupi huwafanya waone bado wanawahitaji.Wapo waliosema kinachofanya wawapende ni wengine kutotosa "uzao wao","kupenda jishughulisha na kufanikiwa", hawana masifa, na mengine....wengina wakajaribu halalisha chuki zao kwa maneno km wana ukabila,ni wezi, wanadhulumu, etc....ila nilipowauliza km JK na mafisadi ni wachaga?nikauliza wale jamaa waliogeuza UCC kuwa ya kabila moja ni wachaga?Nikawauliza wapi wachaga wametangaza chuki na makabila mengine hadi kila kabila la Tanzania liwachukie ,huku wakitumia huduma zao, kuoana nao na mengine?Majibu yalikuwa shida wengine ,wakaanza kuuliza wewe ni mchani nini?ndio maana..nikamwambia ndio maana nini?Ndio maana yeye akashidwa jibu?
Wachaga ndio wa Igbo wa Tanzania. Dawa si kuwadidimiza bali kuwaiga. Mchaga hachagui kazi ya kufanya. Kabila wanataka kazi za kisomi na shule hawajaenda. Kila ukitangaza ajira wachaga wanaomba lazima watakuwa wengi. Ndio wengi waliosoma! Wazazi mikoa mingine igeni mfano wa wazazi wa kichaga. Akose vyote lakini mwanae asome. Wengine wanataka usawa. Utoke wapi bila shule?
 

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
2,027
Points
1,250

sokwe

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
2,027 1,250
Ukweli wachaga wanapenda maendeleo, Lakini baadhi hatuwezi sema wote wako tayari kutafuta utajiri kwa njia yoyote na majambazi wote wakubwa ni wachaga period, Nina mfano hai baba yangu wa kunizaa alidhurumiwa pesa kibao na sawaya mpaka akasamehe kwani kulikuwa na hatari ya kupoteza maisha yake.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
Tatizo hili la kuchukia wachaga lipo kuanzia makanisani, misikitini, ktk vyama vyote, na katk mikoa yote.hat mkoa kilimanjaro kwenyewe kuna wafanyakazi wa uma wameletwa kule wakiwa na fikra za kuwapiga vita wachaga.wapo wazi kabiza ktk hisia zao na matendo yao..wengije hujibaraguza kwa kutania..ila panapoanza onekana gap huanza kuwa serious enemies.


Kitu kizuri kwa wachaga ni kuanza na biashara yoyote hasa vile wanazozidharau,baada ya muda wanagain capital, baadaye wanaanza kuwa threat, baadae wanaanza kuwa tegemeo ktk huduma muhimu ktk eneo husika.Then ana survive hate kwani maadui hugawanyika.Mara nyingine woga wa hao jamaa humpa mchaga njia isiyo na upinzani.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
Hivi we umesoma mpaka la ngapi? Kifikra huwa unawaza nini? Uandishi wako tu, najiuliza huwa unafikiri zaidi ya hapo?
Au unatafuta lejitimasi
Hehe wewe unakadiria mwisho ni la ngapi?....inaelekea kwenu hakuta vidato, wala ngazi nyingine.Usihofu umeeleweka.Pale Tanga kuna University ya Mchaga ambaye kajaza sana shule nyingi mjini.Soon mtasema mengi sana.
 

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,640
Points
2,000

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,640 2,000
Ukweli wachaga wanapenda maendeleo, Lakini baadhi hatuwezi sema wote wako tayari kutafuta utajiri kwa njia yoyote na majambazi wote wakubwa ni wachaga period, Nina mfano hai baba yangu wa kunizaa alidhurumiwa pesa kibao na sawaya mpaka akasamehe kwani kulikuwa na hatari ya kupoteza maisha yake.
Kweli mchagga mtu wa maendeleo lakini hebu fuatilia;

mchaga asiyesoma- mpiga rangi viatu, usiku ni mwizii na jambazi
mchaga wa form 4- yeye dala dala na wizi wa magari( yule wa Arusha upo hapo)
mchaga aliyesoma sana yeye na TRA tu-wizi wa kodi zetu hatusermi, ana nyumba masaki mpaka mbezi
mchaga mwanasiasa-yeye hayuko nyuma anataka tule nyasi huku anachota serikalini

Kweli mchaga kiboko, kwa nini tusimwonee wivu!
 

More Tiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Messages
2,234
Points
1,195

More Tiz

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2013
2,234 1,195
Umemaliza mkuu!!acha wacheza ngoma waendelee kupiga kupiga domo,kwao hii ni asili(jadi)hawaachi hata uwafanyaje,wapo kwa ajili ya kutafuta cha kusema,ukifanikiwa wanasema,uki fail pia watasema! Watu wamezoea kuwa maskini,mafanikio kwao ni laana!! Waache wapige domo,endelea kuhudumia wateja wako mangi.
Mimi sio mangi, ila ni mpenda maendeleo niliyejaribu kuangalia na kuchambua kwa nini baadhi ya watu wanamaendeleo kwa nguvu zao na sio ufisadi.

Napenda kuona mtu anapata maendeleo kwa jasho lake na sio kwa migongo ya wengine kama wale wanaopiga kelele (Naaaaaaap et al) na hawajawahi hata kutembea na kikapu cha karanga wajue ugumu wa maisha.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
Mkuu acha unafiki
Kuna sehemu tanzania utakosa mchaga? kama wangekuwa wanachukiwa wangesurvive?

Mimi ni mhehe na mwenyekiti wangu wa kijiji ni mchaga

Idol wangu kisiasa ni Mchaga (Mrema)

Idol wangu wa polisi ni mchaga (Mahita)

Hii thread ni ya kichochezi na haifai kuachiwa hapa.

Chadema ndio wanaoleta ukabila lakini wachaga sio wakabila
Wewe na Ritz hantofautiani na zile tube lights ambazo sikiwashwa unaweza chomoa starter..halfu inaenelea hivyo hivyo..
Kwani kuchukiwa ndio kuna kunyima kusurvive?Neno survival lenyewe lina maanisha kupona destruction.Kwa hiyo hapo unasema wana survive "chuki ya kimkakati"...Na suidhani kuwa ukichukia basi ndio mwisho...Wayahaudi wanachukiwa sana ila dunia yao inakwenda kwa kishindo....pia ujue survival chances huwa hazitengenezwi na adui...ila survivor(km anazo survival skills au lifestyle au supernatural intervention).

Kwa ufupi wako wa fikra unadhani survivor anapewa survival na plotter.Ndio maana mnamuabudu JK kwa mafanikio huku mkithibitisha hakustahili pale mamabo yakiharibika mkawalaumu watendaji wake.Sasa uanomba itolewe kwanini kwa vile huwezi digest?

Mahita si lazima umpende kama alikutumia ktk zile dili za kuua watu km kafara ya kupandishwa vyeo.Si ndio utumishi uliotukuka wa polisi..
 

Kamawewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Messages
435
Points
500

Kamawewe

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2013
435 500
Sidhani kama kuna kabila lipo perfect popote ila kila wakati tujifunze mazuri yao kama elimu, nia na juhudi ya biashara,kutosahau kwao, money usage displine katika hatua za kujijenga kimaisha tuwaachie na tujitahadhari na mambo yao ya ujambazi, utapeli, kutokuaminika katika pesa na kujuana kwao kule wakiwa mbali na kwao utasikia wa Rombo,mara wa Kibosho,mara Machame ndio hapo wengine inawakera
 

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
Hizo chuki wewe ndo wazijua na hakuna mwingine mwenye nazo!
Nimetembea TZ yote niomeona na kuyasikia,bahati mbaya huwa hawanidhanii hivyo kwa muonekano na tabia...na hii ipo hata ndani ya CDM...kuna wana CDM wengi tuu nao wanasema wazi kuwachukia wachag tena wakia kule kaskazini mahali utategemea wachaga wengi, wanasahau huko kwao (kuanzia vitongoji)kuna wagombea wa kisiasa ambao ni wachaga walioshika wajibu hadi wazawa wakajikuta wakiwataka wasimame ,kwa vile walishawaachia ujenzi wa shule,ujenzi wa office za serikali za mitaa,waliwaachia majengo ya ibada, na kamati za ulinzi jamii.

Kuna siku nilimkuta jamaa mmoja wa Tanga(siasa kali) akisema kuwa watapanda kuanzia Tanga nakufagia Kilimanjaro,Arusha wakifagia makafiri yote...yanamsumbua sana JK kwa hila.Nikamwambie aniambie watafanikisha vipi...povu likimtoka ila hakuwa na ujanja kwangu....aksema watapanda tuu wakipigana.Nikamuuliza akaangalie vizuri wapo kiasi gani Tanga na wanatoa huduma gani ambazo wakisitisha kam watakuwa na nguvu za kuendelea na hizo vita?Nikamwambia akaangalie mapori ya korogwe ,handeni an lushoto ambayo yapo katikati yana wachaga wangapi?Achilia mbali wamasaia, waarusha, wameru, na wengine ambao watakuwa kitu kimoja km suala ni jihadi.Alilegea....akabaki kumbee walishajipanga kwa hilo....?Nikamwambia bado ni coincidence tuu..wao wamefuata ardhi tupu na yenye rutuba.
 

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,597
Points
2,000

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,597 2,000
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.
Fanya kazi mzee acha huu ujinga ujinga!
 

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,877
Points
2,000

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,877 2,000
Nakupa pole ndugu kwa kuwa mtumwa wa PESA,unaongelea mafanikio bila kujali yanakujaje???' nakushauri kafanye utafiti ni makampuni ya watu gani yanayoshinda tenda za serikali kila zinspotangazwa?? Ukishapata jibu, fanya utafiti ni kwa nini,,,,,kwa taarifa yako ni kwamba,, WACHAGA WALIOKO SERIKALINI WANAHAKIKISHA WACHAGA WENZAO WALIOKO MTAANI WANAFAIDIKA NA FEDHA ZA SERIKALINI KUPITIA UPENDELEO MAALUM. Ni systematic rasism
.
Kwa taarifa yako leo huku kilimanjaro(moshi vijijini) waalimu kupitia saccos yao wamefanya fund rising ya kuinua kiwango cha elimu ikiongozwa na mgeni mwalikwa Lowasa na Tsh 1.2Billion zimepatikana, 500Millioni zikiwa cash money.
Elimu ndio uti wa mgongo wa Taifa lolote lile na wachaga wamelitambua hilo zamani. Sasa watu wa maeneo mengine badala ya kuwekeza katika elimu kwa watoto wao wanaendekeza majungu. Majungu daima yamebaki kuwa janga la mafanikio ya jamii yoyote ile. Igeni mema ya wachaga yaachani mabaya yao na sii kwa wachaga tu bali kwa makabila yote ya Tanzania.
.
 

timbilimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
4,807
Points
1,250

timbilimu

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
4,807 1,250
Kweli mchagga mtu wa maendeleo lakini hebu fuatilia;

mchaga asiyesoma- mpiga rangi viatu, usiku ni mwizii na jambazi
mchaga wa form 4- yeye dala dala na wizi wa magari( yule wa Arusha upo hapo)
mchaga aliyesoma sana yeye na TRA tu-wizi wa kodi zetu hatusermi, ana nyumba masaki mpaka mbezi
mchaga mwanasiasa-yeye hayuko nyuma anataka tule nyasi huku anachota serikalini

Kweli mchaga kiboko, kwa nini tusimwonee wivu!
Mkuu nawe unawaponda shemeji zako?!
 

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
Pia wana umoja sana, ikitokea kifo sehemu yoyote huwa wanashirikiana sana kweye kusafirisha, kule kwao hakuna NGOMA! Hawana muda wa kucheza ngoma kabisa! Wala hazipo! Naamini kama wachaga wangejenga nyumba zote walizojenga huku mjini wakazijenga kule moshi tungekuwa kama ulaya ndogo! Naamini sana hawa jamaa hawana masihara kwenye mambo muhimu ya maendeleo..HATA HAPA JUKWAANI WAKO NUSU,,,,
 

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,295
Points
2,000

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,295 2,000
ni nani asiyepafahamu dukani kwa Mangi, Bwashee, au Masawe hao ndo watu wenye maduka mengi kila kona, kila mtaa, nenda vyuoni kati ya watu 10 wanne wanatoka Kilimanjaro (mpare+mchaga) unatarajia nini baada ya miaka 5, maofisini
Haha umenikumbusha kitu.........haafu maduka ya wachaga yamecheza role nzuri sana ya diplomasia........mtu akimchukia Mangi sana ila mikopo ya dukani na ktk grocery zao huwalainisha sana...kwa kuwato aktk dkk mbaya..


Kuna dogo wangu waliwahi mfanya mwenye nyumba ashindwe mfukuza na mwishowe akanunua nyumba ..kwa kunjengea pengine baada ya mangi kuongeza vyumba..Mzee wa nyumba alikuwa msumbufu sana.Ila alipoanza ruhusiwa kukopa mzee akajenga mzinga.Dogo kuna siku akawa anambeep mzee anaondoka kwenda salimia ngugu wengine kuanzia Jmosi hadi j2.Mzee akafeel umuhimu.Akawa anakuja kwa adabu...baadaye akipewa mahesabu anakuja iaezi kadhaa kodi ilishalipwa.Mzee akamtuma binti ili apinge ndoa ya mkeka mangi hakuingia line...wakaanza mtania kuwa ni bahili, mara hajui mapenzi ni mshamba.mangi wapi,wakaishia pewa mimba na vibarua wa mangi..dogo alipoanza uza kuku, na samaki wabichi...ikawa rushwa imeongezeka..mzee kila akijisikia kubadili mlo anasema bill ya mzee...mwisho mangi akafungua bar na upande moja duka.Mara ya mwisho mzee alikuwa na mpango wa kumpa shamba lake kwa vile mangi alianza gharamia gharama za matibabu kwa mzee wakati mabinti wana uzao wa afya,vijana ni masharubaro mjini.Wanalalamikia mfumo uliowapendelea wachaga.

Dogo alianza biashara kwa mtaji wa laki 4,shelf zilikuwa karibu sana na dirisha,wakati akilala kwa nyuma.Alikuwa akiwauzia sukari kwa kipimo kidogo sana.Kiwango cha vijiko vi3 kwa vile waswahili kila mtu anakula ajuavyo...wakipika ugali,kila mtu ana mboga yake, wakipika chai kitafunwa kila mtu na lwake na watoto wake(vijukuu), dogo alikuwa hauzi sukari kwa kilo au nusu.Kwani yeye kwa rejareja yake ...ilikuwa iangiza hela km muuza panadol za kuhesabu..
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,344,370
Members 515,441
Posts 32,817,738
Top