Chui Mweusi ( Black Panther ) aonekana Kenya

Mpaka kuna video watu bado wanadai ni Photoshop? CNN na BBC waandike kuhusu story ya kubuni? Acheni uvivu nendeni kwenye internet mtafute video
 
Kabisa mkuu. Ni sawa na kukutana na Siberian Tiger Serengeti. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi upeo wetu ni finyu sana. Ukijaribu kutofautiana mtazamo kwa hoja unaambulia kejeli na matusi. Mfano angalia huyo popoma nankumene alivyonishambulia hapo post #9.

Na watu wa aina yako ni hatari sana katika karne ya 21. Kwa hiyo Wewe unaamini Dunia ni duara!?
Pathetic!
we ndi popoma bcoz hii habari imeripotiwa kwe international media kadhaa including CNN na indiantumes, wataalamu wanaijadili huko we mmatumbi umekalia ubishi
 
Photoshop at its best. Hiyo picha ya pili ukiangalia kwa umakini hizo nyayo za nyuma anawezaje kutembea huku zote zikiwa zinaonekana unyayo kwa wakati mmoja!? Au alikuwa anaelea bila kugusa ardhi hapo!?
Jombaa hapo si kasimamia ukucha au wewe husimamiagi ukucha ?

Je kama kapigwa picha akiwa anaruka badala ya kutembea ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Photoshop at its best. Hiyo picha ya pili ukiangalia kwa umakini hizo nyayo za nyuma anawezaje kutembea huku zote zikiwa zinaonekana unyayo kwa wakati mmoja!? Au alikuwa anaelea bila kugusa ardhi hapo!?
kama fact ivi
 
Mkuu unamacho sana aisee
 
Kabisa mkuu. Ni sawa na kukutana na Siberian Tiger Serengeti. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi upeo wetu ni finyu sana. Ukijaribu kutofautiana mtazamo kwa hoja unaambulia kejeli na matusi. Mfano angalia huyo popoma nankumene alivyonishambulia hapo post #9.

Na watu wa aina yako ni hatari sana katika karne ya 21. Kwa hiyo Wewe unaamini Dunia ni duara!?
Pathetic!
Naunga mkono hoja.

Nje ya mada, the earth is flat not round.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Kabisa mkuu. Ni sawa na kukutana na Siberian Tiger Serengeti. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi upeo wetu ni finyu sana. Ukijaribu kutofautiana mtazamo kwa hoja unaambulia kejeli na matusi. Mfano angalia huyo popoma nankumene alivyonishambulia hapo post #9.

Na watu wa aina yako ni hatari sana katika karne ya 21. Kwa hiyo Wewe unaamini Dunia ni duara!?
Pathetic!

nazani wewe ndio mwenye upeo finyu na sio watanzania siajabu hata iyo story hujaisoma umekimbilia ku comment tu, mana wameeleza sababu za kitaalam kwanini kawa na iyo rangi hata wale wa amerika ya kusini ni jaguars wa kawaida lkn wanakua na tatizo la pigments fulani ndio zinasababisha wanakua weusi next time fanya utafiti kidogo sio kuleta ujuaji na kutu dharau watanzania wenzako kumbe wewe mwenyewe hujui kitu
 
Back
Top Bottom