Chui Mweusi ( Black Panther ) aonekana Kenya

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,131
2,000
Rare black leopard 'Black Panther" spotted in Africa for the first time in 100 years (Photos)


1550055365115.png


Biologists have captured a rare footage of a big Black Leopard also known as 'Black Panther' walking majestically in Kenya, making it the first time the animal has been photographed in Africa since 1909.

Nick Pilfold, a San Diego Zoo global scientist, said they captured the footage after months of watching and waiting. His team of biologists had placed remote wildlife cameras to track the leopard population near Loisaba Conservancy in Laikipia County last year when they heard unconfirmed reports of a possible black leopard sighting.

"We intensified our camera placement in the area the reports were being made. Within a few months, we were rewarded with multiple observations on our cameras" he said on Tuesday night.

1550055423876.png


The female leopard's coat color is pitch black as a result of melanism, a gene mutation that results in an over-production of pigment, Pilfold said. It's the opposite of albinism and although the leopard's coat appears black during the day, its rosette patterns are visible in nighttime infrared imagery.

While there have been reports of sightings of black leopards the last confirmed observation was in Ethiopia more than a century ago, he said. Pilfold is part of a team from the San Diego Zoo working with local partners, including the Kenya Wildlife Service, to monitor leopard populations in the area and help preserve the species.
1550055455445.png


1550055476878.png
 

DrLove69

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
3,127
2,000
Awo Black Panther kwa Africa hawawezi kuishi ni sawa na kumleta Dubu apa Africa, hawezi kuishi.
Wazungu wamewaleta kuna genetics issues, Apo Wazungu wanataka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu. Ni sawa na kukutana na Siberian Tiger Serengeti. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi upeo wetu ni finyu sana. Ukijaribu kutofautiana mtazamo kwa hoja unaambulia kejeli na matusi. Mfano angalia huyo popoma nankumene alivyonishambulia hapo post #9.

watu aina yako huwa wanabisha kila kitu, sitoshangaa ukisema dunia ni flat n.k
Na watu wa aina yako ni hatari sana katika karne ya 21. Kwa hiyo Wewe unaamini Dunia ni duara!?
Pathetic!
 

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
21,691
2,000
Photoshop at its best. Hiyo picha ya pili ukiangalia kwa umakini hizo nyayo za nyuma anawezaje kutembea huku zote zikiwa zinaonekana unyayo kwa wakati mmoja!? Au alikuwa anaelea bila kugusa ardhi hapo!?
Sure mkuu haiwezekani miguu yote ya nyuma kusimama dede .. Naona kona popoma hapo juu kakubishia
 

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
2,305
2,000
Photoshop at its best. Hiyo picha ya pili ukiangalia kwa umakini hizo nyayo za nyuma anawezaje kutembea huku zote zikiwa zinaonekana unyayo kwa wakati mmoja!? Au alikuwa anaelea bila kugusa ardhi hapo!?
Kwani mkuu ukiwa umekaa kwa mda mrefu then unasema ngoja nikanyooshe nyooshe miguu ndio hiyo sasa aliyotumia black panther hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
5,921
2,000
Kabisa mkuu. Yaani Chui kasimamia vidole kama Michael Jackson kwenye Beat It!
Kuna popoma mbili zimebisha utafikiri nimetunga. Dah watu weusi tunaangamia kwa kukosa maarifa.
ngoja nkuache huwenda nkawa nabishana na chui mwenyew hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom