Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Last edited by a moderator:
Mkuu uhuru ni kitu muhimu kwa binadamu na wanyama kwa wakati wote!When FREEDOM is necessary, I have lent a lesson of a life tym.
Precisely mkuu!No one like to be provoked.
Alipigana mbaka kikaeleweka!safi sana!Dah!, Jamaa alijitahidi sana kutetea uhai wake.
Mkuu siku zote waandishi wa habari huwa hawana msaada!Huyo jamaa naye amemchokoza sana. Naona mwishoni amekiri "I've learnt a lesson'. And we've to learn from others' mistakes not our own.
Halafu hao waliochukua hiyo video msaada wao ulikuwa ndio hiyo video shooting? Binadamu tuna mambo.
Alipigana mbaka kikaeleweka!safi sana!
hii filamu inatufundisha nini jamani??