Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 501
- 710
Hicho ni kitu cha kawaida kutokea. Maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara ni sehemu ambazo zimezungukwa na hifadhi nyingi za wanyama. Kwa hiyo, wanyama kutoka kwenye hafadhi kufika kwenye maeneo ya watu huweza kutokea. Akifika kwenye maeneo ya watu, kitendo cha kushambulia inakuwa ni njia ya kujihami kwake. Kwa hiyo wasilazimishe kupata yafsiri yeyote, ni sawa tu na kuku wa jirani kumkuta yupo barazani kwako