Chui aingia wilayani Hai mjini na kujeruhi watu, wazee wasema hii haijawahi kutokea wataka tambiko!

Chui amevamia eneo la Hai mjini na kujeruhi watu kadhaa kabla ya kuuawa.

Wakazi wa Hai mjini ambako ndio makazi ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Chadema mh Mbowe wamesema tukio hilo ni la kwanza tangu tupate uhuru.

Wazee wa Hai wamedai watafanya tambiko ili mizimu iwatafsirie maana ya ujio wa chui huyo wilayani kwao.
Kwani ni lazima kila jambo litokee/mlione ndiyo muone ni kawaida? Hata hayo mnayoona leo ni kawaida,yalikuwa na mwanzo. Sioni cha ajabu chochote kuhusu mnyama kama chui kuzama town. Kutokana na sababu za kimazingira/kiikolojia, hivi sasa wanyama kibao wanaingia kwenye miji/makazi ya watu hasa sehemu zilizo jirani na mbuga. Kule Kisarawe miezi kadhaa nyuma simba walionekana wakijirusha kitaa. Arusha Tembo aliingia town hadi akaua yule kijana aliyetaka kujiselfisha nae. Tembo ndiyo wanaongoza kuja town/makazi ya watu. Hao wazee waache ushirikina
 
Chui amevamia eneo la Hai mjini na kujeruhi watu kadhaa kabla ya kuuawa.

Wakazi wa Hai mjini ambako ndio makazi ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Chadema mh Mbowe wamesema tukio hilo ni la kwanza tangu tupate uhuru.

Wazee wa Hai wamedai watafanya tambiko ili mizimu iwatafsirie maana ya ujio wa chui huyo wilayani kwao.
Acha uongo wewe
 
Huyo chui hakuvaa skafu ya chadema?kamà hakuvaa afadhali maana ataunganishwa kesi ya UGAIDI....

Kingai MUNGU ANAKUONA...HAUTATOBOA...
 
Hii nchi ina Wanyama kila kona hivyo sio ajabu mara moja moja Mnyama au Wanyama wakafika kwenye makazi yetu....Mbuga hazina uzio zile.
 
Chui amevamia eneo la Hai mjini na kujeruhi watu kadhaa kabla ya kuuawa.

Wakazi wa Hai mjini ambako ndio makazi ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Chadema mh Mbowe wamesema tukio hilo ni la kwanza tangu tupate uhuru.

Wazee wa Hai wamedai watafanya tambiko ili mizimu iwatafsirie maana ya ujio wa chui huyo wilayani kwao.
Kwanini wameua nyara ya serikali kizembe hivyo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20210929-WA0005.jpg
 
Hilo linaweza kutokea kama huyo chui amepata kichaaa cha mbwa a.k.a rabies, badala ya kuwahisha watu waliojeruhiwa na huyo chui kupata matibabu ikiwemo kinga ya kuzia maambukizi ya kichaa cha mbwa mnatafuta kufanya matambiko, waiteni wataalamu wa maabara ya mifugo wachukue sampuli fasta kujua kama huyo chui alikuwa na rabies.......dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom