Chuck Hagel (Republican ) next secretary of Defense

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Yaani democratic hawana mtu mpaka mnamlilia Hagel.Kwa nini Obama secretary of defense wote ni Republican ?Hagel ni uncle wa michelle malkin mnalo hilo
 
Obama mnyamwenga, anaamini katika diversity of opinion na "Team of Rivals". Kwa hiyo msifikiri hamna democrats wa kufaa hapo Pentagon, ni mambo ya kujenga coalition tu itakayokuwa inclusive kwa moderate Republicans.

Halafu mpango mzima utakaofuata hapo ni ku cut military spending.Kwa hiyo kaamua kumpa mchawi alee mtoto. Republicans watapelekewa deal la ku cut military spending na republican mwenzao kupunguza habari za mzozo wa vyama.

Ndiyo maana huwezi kusikia a Republican wingnut kachukua mzigo kama huo. Chuck Hagel na Obama wanajuana tangu awali Obama alivyoenda kukagua mi nuclear Urusi huko akiwa junior senator from Illinois, anamjua mtu wake.

JP-HAGEL-articleLarge.jpg

Barack Obama and Chuck Hagel, who were Senate colleagues at the time, at the Amman Citadel in Jordan in July 2008. /Jim Young/Reuters
​
 
navyomjua mimi Obama ni mtu anayetaka kupendwa na kila mtu hivyo wakati mwingine anafanya uteuzi ili kuongeza credibility!
 
Chuck Hagel angalia record yake ndio matetee.mpaka schumer anamkataa.Ni hormophobic huyo na loves war na anapenda mno kuwachokoza magay.Before hamjamtetea jesus(obama) angalieni record Za mtu.
 
Vichwa sana kama alivyo romney na bush

Yes very successful people .Obama Ana record gani ?community organizer ?hajawahi kudhinda kesi alivyokuwa lawyer,hajawahi ku vote for anything alivyokuwa senator kila kitu yeye "present".He does not stand up for what he believes on ".
 
Republican Chuck Hagel ni liberal (on the left) kuliko hata Obama na dems wengi. Pia ni anti Israel, na hapa ki namna BO anatoa malipo kwa kimbelembele Netanyahu kwa kujingiza kwenye campain
 
Yes very successful people
.Obama Ana record gani ?community organizer ?hajawahi kudhinda kesi
alivyokuwa lawyer,hajawahi ku vote for anything alivyokuwa senator kila
kitu yeye "present".He does not stand up for what he believes on
".

Mbona unahasira sana. Afterall, mambo yetu na ccm wametushinda, ndio tutaweza mambo ya US???
 
Smart move! Tea Party watakuwa wanatokwa povu sasa hivi, watapambana na mtu wao?
 
Mbona unahasira sana. Afterall, mambo yetu na ccm wametushinda, ndio tutaweza mambo ya US???

LOL!.....word, on a different note Obama has been and he's being Bipartisan which is a smart thing to do for every politician. Habari za kuwa republiklan ni vichwa zaidi are "under the carpet ideas"
 
Yaani democratic hawana mtu mpaka mnamlilia Hagel.Kwa nini Obama secretary of defense wote ni Republican ?Hagel ni uncle wa michelle malkin mnalo hilo

Cabinet appointees from opposing party:

For a little perspective, here's a rundown of the crossovers from a century's worth of presidential Cabinets:
• George W. Bush: Democrat Norman Mineta, transportation secretary.
• Bill Clinton: Republican William Cohen, defense secretary.
• George H. W. Bush: none.
• Ronald Reagan: William Bennett was a Democrat when appointed as education secretary in 1985
• Jimmy Carter: Republican James Schlesinger, who served as defense secretary under Republican presidents Richard Nixon and Gerald Ford, was tapped by Carter as America's first energy secretary.
• Richard Nixon: Daniel Patrick Moynihan served as ambassador to the United Nations, which at the time was not a Cabinet-level position.
• John F. Kennedy: Republicans C. Douglas Dillon as treasury secretary and Robert McNamara as defense secretary. McNamara wasn't such a stretch though, as Time m agazine pointed out at the time, "In politics, McNamara is a lukewarm, liberal Republican who often contributes to Democratic candidates. This year he voted for Kennedy."
• Dwight D. Eisenhower: Democrat and Labor Secretary Martin Patrick Durkin, the "plumber" among Eisenhower's so called "Nine Millionaires and a Plumber" Cabinet. Durkin was replaced in 1953 by fellow Democrat James P. Mitchell, a so-called "Democrat-for-Eisenhower."
• Franklin D. Roosevelt: Republicans Frank Knox as secretary of the Navy and Henry Stimson, secretary of war.

C-Span.org

What's the big deal here if Obama does what other former presidents have done????????????????

Obama is liberal president ever elected .Huwezi fananisha na Bill .Bill Clinton alikuwa moderate democratic Obama Kama Yugo Chavez
 
Yes very successful people .Obama Ana record gani ?community organizer ?hajawahi kudhinda kesi alivyokuwa lawyer,hajawahi ku vote for anything alivyokuwa senator kila kitu yeye "present".He does not stand up for what he believes on ".

Unachofanya ni upotoshaji mkubwa sana.., its unfair to mr.obama.

watu makini hapa jf watakudharau sana..., una hakika kwamba obama hajawahi kushinda kesi yoyote? Au una hakika hajawahi vote?? Maana hata layman aki-google ataupata ukweli.., acha upotoshaji..., hata kama humpendi lakini usipotoshe umma,

Just for the record, kuna watu makini sana hapa tunafatilia international politics, tena international sio marekani tu, na hatujaanza jana, narudia, unachofanya ni upotoshaji na inakupunguzia sana intergrity yako.
 
Tell me amefanya nini?second this is politics na wewe no liberal ,Obama to you is Jesus Christ we have to worship him.Our father Obama holy son of mary .Oh Obama you will be cut off if you criticize the second coming of Jesus christ Obama . Wewe to me Obama is a politician and all politician are psychopath thats why they kill and dictate people ,not God ok get a religion
 
Unachofanya ni upotoshaji mkubwa sana.., its unfair to mr.obama.

watu makini hapa jf watakudharau sana..., una hakika kwamba obama hajawahi kushinda kesi yoyote? Au una hakika hajawahi vote?? Maana hata layman aki-google ataupata ukweli.., acha upotoshaji..., hata kama humpendi lakini usipotoshe umma,

Just for the record, kuna watu makini sana hapa tunafatilia international politics, tena international sio marekani tu, na hatujaanza jana, narudia, unachofanya ni upotoshaji na inakupunguzia sana intergrity yako.

Mkuu achana na huyu dada......ushafahamu Washamba fulani hivi wakisha kuwa close na society fulani nao hujifanya ni die hard part wa hiyo society.......i.e. weusi wanaojiona weupe........she is out of her mind.......huyu ndio alikuja na ile story ya utajiri wa Romney.........akaumbuliwa hapa........
 
Yes I'm wealth so what.Mnatuogopa republican haha .bring it on ,wivu tuuuuuu
 
Back
Top Bottom