Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 712
Mkuu achana na huyu dada......ushafahamu Washamba fulani hivi wakisha kuwa close na society fulani nao hujifanya ni die hard part wa hiyo society.......i.e. weusi wanaojiona weupe........she is out of her mind.......huyu ndio alikuja na ile story ya utajiri wa Romney.........akaumbuliwa hapa........
haha,,, nimekupata kaka, cant waste anymo energy kwa thread zake, kwa mfano mm hapo juu nimem-criticize kwa kupotosha umma kwa makusudi, yy anajibu obama kwangu ni mungu!!!
My word!