Chuchu zimeingia ndani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuchu zimeingia ndani.

Discussion in 'JF Doctor' started by Engager, Jun 6, 2011.

 1. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari ndugu wana jf. Rafik yangu wa karibu hivi majuz alikuja kuniomba ushauri. Alinieleza kuwa chuchu za matiti ya mpenz wake zmeingia ndan kama kitovu (kwa vitovu vya ndan) na kuacha kiduara cheusi kizungukacho chuchu wakt kilima hicho (kichuchu) kikiwa hakpo (ktk kla titi) . Alicho niuliza ni je hali hyo inasababishwa na nn? Je kuna mechanism yoyote ya kuzfanya chuchu ztokee kwa nje maana hali hyo inaweza kumsumbua mtoto wakat wa kunyonya pind atapo jifungua. Kiukweli nilishndwa kumshauri coz its non of my profession, zaid nilimwambia nipe mda. Hebu naomben tumshaur ndugu.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  human mutation
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hajanyonywa huyo
   
 4. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sometimes it is an early sign of breast cancer

  Tell him to take her to hospital for more ivestigation
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  niliwahi kusikia ni dalili mojawapo ya cancer hio mwambie aende hospitali kwa uchunguzi zaidi...pole sana
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Hatua ya kwanza ajaribu kuzinyonya ndipo akamuone dr
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi nilishagawahi kupata demu wa hivyo aisee. Ila sema yeye ni chuchu ya moja ya ziwa lake. Sasa mzee mzima nikamtoa sidiria ili nianze kuzinyonya bana. Nikaanzia lile lenye chuchu iliyoingia ndani. Akanizaba kibao akaniambia hebu niache kunyonya hapo kwani hakuna chuchu. Akanipa lile lenye chuchu. Daaah nilijiona mjinga kweli.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  inaweza kuwa dalili ya kansa kama chuchu ilikuwepo mwanzo kisha ikazama/potea. bado mpya huyo,mpe hongera. muambie anyonye kwa bidii,ila kama kuna discharge aende kwa dr. atakapojifungua hizo chuchu zitatoka zenyewe
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160

  Hizo chuchu zipo hivyo tangu amevunja ungo (yaani matiti yake yalipoanza kukua) au ni mabadiliko ambayo yametokea hivi karibuni? Ni chuchu zote mbili au moja? Zimekuwa hivyo kwa wakati mmoja au moja baada ya nyingine? Akiyaminya yanatoa damu au maji maji hivi ambayo hayafanani na maziwa?

  Kama majibu ya maswali yangu hapo juu ni kuwa mabadiliko yametokea hivi karibuni, moja baada ya jingine, na kuna majiji au damu akiminya...mwambie akimbie mbio za farasi kwenda hospitali akachunguzwe uwezekano wa saratani ya matiti!
   
 10. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  teh teh teh teh...nyani ngabu bana unachekesha sana
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i think si dalili ya kansa balli ni dalili ya kuwa prone kupata kansa, i know a lady alikua hivyo since day one anaota chuchu, sasa ana watoto na sijui kama ziliweza kutoka nje badae
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,084
  Likes Received: 6,548
  Trophy Points: 280
  Asanteni washauri mimi hapa napita njia tu.
   
 13. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Hv huwa mnanyonya ili nn,au kuna maziwa hapo?
   
Loading...