beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Haahahahah wat can i say to my sweet hubby judgement no body can fit on dat bt u darlin u suchShem langu full maubunifu......... Wapi beibe nasty sasa?.
dah!kaka umetokelezea ile mbaya,...yaani hili ni bonge la funiko,sina swali,bila shaka pongezi zako nazipeleka moja kwa moja kwa sabuni wako wa malavidavi mpenda kikojoleo si mwingine ni beibe nasty salute kaka

Thanks Madame B!
Accept my wills to you that,
Be your own friend and others will be friend you!
Kaka hapa umefunika,hongera zikufikie popote ulipo labda nikuulize tu hivi kuna binti ambaye amewahi kukukataa..??
Mkuu Mtakatifu! Japo ni swali la kizushi , but niseme ondoa kukataliwa, huko nyuma nishapigwaga kibuti cha hiari ! Kabla sijampata nilie nae currently!
Kwajinsi ulivyoweza kupanga majina katika hadithi yako mkuu nimekukubali na ndio nikajiuliza kama unaamua kumshushia mistari mtu sijui kama kuna kiumbe ke anayeweza kukuchomoka nadhani ipo siku nitahitaji msaada wako,kuna mtu anasumbua kidogo..