Chronovisor: Kifaa kilichotumika kutazamia matukio halisi ya kale (Sodoma na Gomora na kusulubiwa kwa Bwana Yesu)

Kwenye ardhi kutunza kumbukumbu zote za mtu na matukio nakubaliana nawe,maana hata Yesu alipoletewa yule mwanamke mzinzi aliyekuwa apigwe mawe hadi kufa kwa torati ya Musa,Yesu alichora chini kwenye ardhi,hii inatafsiwa kwamba alifukua faili ya kila mtu pale akaona madhambi yao,ndio maana akawaambia asiye na hatia awe wa kwanza kumrushia huyu mwanamke mawe,ndio maana wote wakatawanyika maana waliona nao mawe yanawahusu.

Yohana 8

4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.]
Naam,
Shukraani kwa mchango
 
They know people what they want to hear!,they will never bring to you what you don't want to hear coz isn't easy for us to accept true!.. this code only can be opened to the extra mind people!.

Twendeni tukamtolee sadaka Mungu kwenye yale mabakuli ili tupate kubalikiwa jamani au mwasemaje...??😁😁
Mbona maafande was inge haha kusaka waharifu.
Hidden truth is unspoken lies.
Waendelee kukomaa na kuongelea habari za Yesu Mwenye macho ya Blue huku waki ndani wana iga magoti mbele ya Statue ya Black Maddona.
 
Umemaliza.
The concept of a "chronovisor" is a controversial and highly debated one, with many claiming it to be a fictional device or an elaborate hoax.

According to some accounts, a chronovisor is a hypothetical device that would allow its user to see and hear events from the past or future, much like a time machine. It is said to work by receiving and decoding electromagnetic radiation that has been emitted by events in the past, which still exist in the present as a kind of residual energy.

The idea of a chronovisor was first popularized by the Italian priest and scientist Father Pellegrino Maria Ernetti, who claimed to have built such a device with the help of a team of physicists in the 1950s. According to Ernetti, the chronovisor allowed him to witness important historical events, such as the crucifixion of Jesus Christ and the founding of Rome.

In conclusion, while the idea of a chronovisor may be intriguing, there is currently no scientific evidence to support its existence, and many experts are highly skeptical of the concept.
 
Wazungu wali leta uwongo mwingi sana hapa duniani!
Uwongo mkubwa kabisa wali kuja kusema Yesu Kristo ni mzungu kitu ambacho sio cha kweli, hoax nyingine ni ya kwenda Mwezini HAHAHA
WE ACHA TU HAWA WATU HAPANA KABISA!
Kuna mambo mengi sana...
Mkuu yamefichwa bila kusoma kwa kina na kufatilia mambo utaamini kisicho.
 
Pongezi nyingi kwa andiko bora,mada kama hizi zinatuzindua ufahamu wetu juu ya mambo tofauti tofauti hata kama hatuna uhakika na ukweli wake.

Ila kuhusu hiki kifaa,mbona kama ndio kina majibu ambayo dunia tunapaswa tujue maana tumekuwa tukijiuliza,mfano Picha ya Yesu,janga gani litaikumba dunia nk.?

Sasa kwanini kiharibiwe au kifichwe,tuendelee kutafuta ukweli wake
Shukraani
Mkuu na shukraani kwa mchango
Kikubwa kinachoelezwa hata leornardo DaVinci alipata kusema wakati Holy grail inajadiliwa ni kwamba hivi vifaa vinawapatia sana mafanikio makubwa na Faida isiyomithilika na ndio sababu hufichwa.
 
The concept of a "chronovisor" is a controversial and highly debated one, with many claiming it to be a fictional device or an elaborate hoax.

According to some accounts, a chronovisor is a hypothetical device that would allow its user to see and hear events from the past or future, much like a time machine. It is said to work by receiving and decoding electromagnetic radiation that has been emitted by events in the past, which still exist in the present as a kind of residual energy.

The idea of a chronovisor was first popularized by the Italian priest and scientist Father Pellegrino Maria Ernetti, who claimed to have built such a device with the help of a team of physicists in the 1950s. According to Ernetti, the chronovisor allowed him to witness important historical events, such as the crucifixion of Jesus Christ and the founding of Rome.

In conclusion, while the idea of a chronovisor may be intriguing, there is currently no scientific evidence to support its existence, and many experts are highly skeptical of the concept.
Well
 
Back
Top Bottom