Mawazo ni uhuru wa mtu yeyote,ila vyanzo vyake utofautiana, na hapo ndio utakuta kuna mawazo ya shetani kwa watu wake na mawazo ya Mungu kwa watu wake, mwisho ya yote ni matokeo yataonyesha wewe ni wa nani? Mungu bariki watumishi wako wote.
Matendo ya Mwal Mwakasege yanajionyesha. Ebu tizama hilo tangazo, hajakuomba sadaka wala kutoa account umrushie pesa. Tena cha zaidi, amekuandalia mayaya na msosi hili usipate sababuza kutokuhudhuria hiyo semina.