Christmass Shopping zinaendelea kama hivi

Christmass Shopping zinaendelea kama hivi

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

10245429_10203447582414304_1962443178172877423_n.jpg
 
mmmmhhh hakunaga watu kama hawa bhana, na hata wakiwepo hawawezi kutokea mtaani kwa mavazi kama haya..
 
Ukijisikia kuvaa hivi we vaa tu, kwani sio kinyume cha sheria labda Uganda tu.
 
hivi unene nao husababisha mtu kutouthamini mwili wake eeeh
 
Itakuwa sikukuu hii ni joto kali huko ulaya na siyo mbaya tena kapendeza na mtulivu wa shoping yake
 
Back
Top Bottom