wakulichomeka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 517
- 142
Mihogo na mafenesi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Christmas is stressful time of the year gifts.
Usimsahau Mpenzi wako kumpa zawadi nzuri, shukuru Mungu unampenzi kuna watu wanawatafuta na hawana.
Kuna mdada wa kizungu Leo nilimuuliza unaenda out akanimbia sina mtu na sijawahi hata kupata date wala kutolewa out.
Nilimuonea huruma akaanza kulia.
Kwa hiyo jamani don't take your partner for granted mshukuru.
Hapa namtafuta mrema aniuzie wine lita 20, karibuni wote.
simpi kitu....
A very health & gud sex!....
It sounds sexy and romantic!Kuna zawadi nzuri zaidi ya vikojoleo???
Punguza ukauzu mwanamke!!!!!
Namie msinisahau kwenye zawadi zenu jamani...
wewe jojo itakutosha mama
simpi kitu....
Mwl Mimi na akanana sikukuu tutakuwa na wakishua pale Jembe ni Jembe karibu sana!