Christmas is here, zawadi gani umemwandalia Mpenzi wako

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Christmas is stressful time of the year gifts.

Usimsahau Mpenzi wako kumpa zawadi nzuri, shukuru Mungu unampenzi kuna watu wanawatafuta na hawana.

Kuna mdada wa kizungu Leo nilimuuliza unaenda out akanimbia sina mtu na sijawahi hata kupata date wala kutolewa out.

Nilimuonea huruma akaanza kulia.

Kwa hiyo jamani don't take your partner for granted mshukuru.
 
On my list....

A polka dot Moncler Enfant Bady jacket for my munchkin.

A bicycle.

And a pair of UGG boots.
 
duuuh! this never got into ma mind, ngoja nifikirie cha kumpa
 
Hata siku ya kuzaliwa sijawahi kupewa zawadi wala hata kuambiwa happy birthday na unaenda mwaka wa 8 huu,nampa mimi tu!khaaa nimechoka,simpi kitu

Hapo ndiyo shida inapoanzia,,,,, inakatisha tama,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom