Christina Shusho na MAFUVU

Christina Shusho na MAFUVU

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
922
Reaction score
231
Wadu napata shida, naombeni msaada wenu, hapa tamasha la pasaka namuona Christina Shusho kwenye hii picha, na nguo yake ina mafuvu. Nashindwa kuitafsiri, naombeni msaada tafadhali.

IMG_6647.JPG

picha kwa hisani ya gospelkitaa.blogspot.com , kwenye stori ya Rebecca Malope na tamasha la pasaka.
 
I never give a shit about freemason na uchawi at large, i guess alivaa tu bila kujielewa.
 
She must have known and had a purpose to put on that dress, very confusing in deed!
naona wenzanke wamevaa simply skirts na blouse, while wengine wamevaa vitenge vizuri tu kwa sana. lakini yeye pamoja na huo mkanda wake nahisi kama anaonekana kama rock-star! Labda ni mi mwenyewe tu lakini.
 
Hiyo ni ile MTANITAMBUAJE badala ya MTAMTAMBUAJE YESU????????
 
Mara nyingi tunajisahau tunapopanda chati na kuanza kufanya vituko vya kumuudhi Mungu aliyetuinua. Alitakiwa atofautishe nguo zinazovaliwa na wanamuziki wa nyimbo za dunia. Ajue Mungu amempandisha hivyo ni vema akaendelea kuishi kama Mungu alivyomwita asije akajimaliza kama Flora Mbasha ambaye ni Mwimbaji wa CCM
 
mnashangaa nini,msikimbilie kutafsiri kila kitu
 
'NITAJITAHIDI kuwa mwaminifu,nakupendaaaaa!
 
Kazi kweli kweli.... !!!, yaani mtu sasa hawezi kuvaa nguo bila kuogopa kwamba hii inaweza kutafsiriwa vipi na group la watu.., anyway watu tutaacha kuvaa nguo za rangi fulani, picha fulani au aina fulani kwa kuogopa watu kufikiri kitu fulani.

Nina uhakika yeye kaipendea either, mshono, rangi au appearance yake hayo mengine mnayaona nyie
 
mwacheni dada wa watu,hayo si marembo ya kwenye nguo tu.
mtafanya watu kila wakitaka kuvaa waangalie nguo ina marembo gani.
kwani nyie mnafikiri hayo mafuvu yanamaanisha nini?
kwanza kapendeza ile mbaya.
Christina usiwajali hawa,muimbie Mungu wako,yeye ndiye anayejua dhamira yako.
 
Kuna haja ya kuwa makani katika hili..lets make follow up.
 
Yaani alikwenda dukani na kuchagua hiki kitambaa chenye picha za Mafuvu? Sintamshangaa nitakapokuja kumuona amevaa gauni jingine jukwaani yenye picha za majani ya Bangi! Siku hizi dini ni Business!
attachment.php
 

Kazi kweli kweli.... !!!, yaani mtu sasa hawezi kuvaa nguo bila kuogopa kwamba hii inaweza kutafsiriwa vipi na group la watu.., anyway watu tutaacha kuvaa nguo za rangi fulani, picha fulani au aina fulani kwa kuogopa watu kufikiri kitu fulani.

Nina uhakika yeye kaipendea either, mshono, rangi au appearance yake hayo mengine mnayaona nyie



nguo ni nguo..... lakini ya "MFUVU"... Kwa mwana KWAYA........! mmmmh.
 




nguo ni nguo..... lakini ya "MFUVU"... Kwa mwana KWAYA........! mmmmh.

si ndio hapo mkuu.............halafu hiyo mikucha umeiona ilivyo mirefu............sasa mikucha mirefu kama ya shetani plus mifuvu halafu utaambiwa ana upako...........................huo mkanda na hiyo midude aliyovaa mkononi yaani swaga za ki rock star hamna ubishi.............huyu ana kitu sio bure.................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom