Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Duh....mbombo ngafu!Inaelezwa Christina ni malaya wa muda mrefu huenda hata kabla ya ndoa yake kufa, yule Pastor Shusho alimstiri mnooo huyo madam.
Christina ana mambo mengi mnoo machafu nyuma ya pazia (tunaomjua tunastiri ili kulinda utu wake, familia yake na imani aliyokuwa anahubiri), hata hii kuanza kufunguka ameifanya kimakusudi ili 'ngoma ivumee' kiasi cha kutaka kupasuka na kila kitu kilichopangwa kiwekwe wazi.
Watu wengi wasiofahamu ni kuwa, toka kitambo kidogo Gospel music ilishamtupa nje Christina Shusho (amekuwa akisurvive na trend ya nyimbo zake za zamani, zile za zaidi ya miaka kumi iliyopita), ngoma zake mpya na album zake mpya, zote zimefeli (kidogo Kenya vimehit) regardless ya gharama kubwa na promo kubwa aliyotumia kuzipa milleage.
Kwa kuwa Christina alishalewa umaarufu na kuonja utamu wa pesa, hakuna namna atataka kutoka kwenye hiyo reli unless miujiza wa Mungu imuokoe!
Bahati mbaya sana Christina haoni tena njia ya kutoboa (pesa na umaarufu) kupitia Gospel, muziki umeshamgomea na uchungaji wa mchongo umemkataa, hautamani tena, mtaji aliowekeza kwenye Church yake pale Manzese unamletea loss kila siku, hakuna waumini wa kutosha na hakuna sadaka ya kumwagika!
Mpango wake kabambe wa sasa ni kutaka kuchomokea kwenye Bongo flaviour kupitia 'mziki vuguvugu', na mlango rahisi wa kutrend ni kupitia Diamond na tena uko wazi, mipango imeshakamilika, kwa sasa ni kudondosha drama kwa kwenda mbele (ili kutrend) kisha kuja kuachia ngoma yenye hits.
Mambo ni mengi lakini muda ni mchache. Kaeni mkao wa kuona mambo mengi ya kustaajabisha na huenda yakawachafua baadhi ya watu. Yote ni maisha tu.
Dada Shusho kaingia majaribu mazito.Inaelezwa Christina ni malaya wa muda mrefu huenda hata kabla ya ndoa yake kufa, yule Pastor Shusho alimstiri mnooo huyo madam.
Christina ana mambo mengi mnoo machafu nyuma ya pazia (tunaomjua tunastiri ili kulinda utu wake, familia yake na imani aliyokuwa anahubiri), hata hii kuanza kufunguka ameifanya kimakusudi ili 'ngoma ivumee' kiasi cha kutaka kupasuka na kila kitu kilichopangwa kiwekwe wazi.
Watu wengi wasiofahamu ni kuwa, toka kitambo kidogo Gospel music ilishamtupa nje Christina Shusho (amekuwa akisurvive na trend ya nyimbo zake za zamani, zile za zaidi ya miaka kumi iliyopita), ngoma zake mpya na album zake mpya, zote zimefeli (kidogo Kenya vimehit) regardless ya gharama kubwa na promo kubwa aliyotumia kuzipa milleage.
Kwa kuwa Christina alishalewa umaarufu na kuonja utamu wa pesa, hakuna namna atataka kutoka kwenye hiyo reli unless miujiza wa Mungu imuokoe!
Bahati mbaya sana Christina haoni tena njia ya kutoboa (pesa na umaarufu) kupitia Gospel, muziki umeshamgomea na uchungaji wa mchongo umemkataa, hautamani tena, mtaji aliowekeza kwenye Church yake pale Manzese unamletea loss kila siku, hakuna waumini wa kutosha na hakuna sadaka ya kumwagika!
Mpango wake kabambe wa sasa ni kutaka kuchomokea kwenye Bongo flaviour kupitia 'mziki vuguvugu', na mlango rahisi wa kutrend ni kupitia Diamond na tena uko wazi, mipango imeshakamilika, kwa sasa ni kudondosha drama kwa kwenda mbele (ili kutrend) kisha kuja kuachia ngoma yenye hits.
Mambo ni mengi lakini muda ni mchache. Kaeni mkao wa kuona mambo mengi ya kustaajabisha na huenda yakawachafua baadhi ya watu. Yote ni maisha tu.
Vitu adim sana..Ndio vikoje hivyo vitu!
Tunaomjua Shusho hatushangai, tulishamuonya na kumshauri arudi kwenye mstari tangu kitambo, akatudharau!Dada Shusho kaingia majaribu mazito.
Kama vile namsikia mond anasema "She's a MILF and I'm a Motherfvcker"View attachment 2976797
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment
Mwana kulitafuta mwana kulipata!Tunaomjua Shusho hatushangai, tulishamuonya na kumshauri arudi kwenye mstari tangu kitambo, akatudharau!
Kinachoendelea sasa ni sehemu tu ya kile alichokuwa akikificha nyuma ya pazia kwa muda mrefu, anafanya haya sasa ili kutengeneza mazingira ya kule anakoelekea na amekuwa akikutamani kwa muda mrefu. Drama nyingi na kubwa zinakuja zaidi. Jipe muda utaona mengi.
Mimi ni mmoja wa watu ambao nilivutiwa mnoo na nyimbo za Christina Shusho kwenye zile album zake za kitambo kabla ya kuharibikiwa na kuanza kuimba kibiashata na mpaka sasa bado zile nyombo zake nazikubali mnoo.
Sio chini ya miaka saba sasa tangu Shusho 'aharibike', binafsi (na watu wengine wengi wenye hekima) kipindi kile kile nilichogundua kuwa Christina amebadilika (kama shabiki wa muziki wake), niliwahi kumwambia (kwa kumwandikia ujumbe kwa sababu niliumia) wa kumuonya na kumshauri kurudi kwenye mstari kwa kuwa anakoelekea ni hatari mnoo, hakusikia.
Shusho atubu tu, jamii imuelewe na umsamehe!Tunaomjua Shusho hatushangai, tulishamuonya na kumshauri arudi kwenye mstari tangu kitambo, akatudharau!
Kinachoendelea sasa ni sehemu tu ya kile alichokuwa akikificha nyuma ya pazia kwa muda mrefu, anafanya haya sasa ili kutengeneza mazingira ya kule anakoelekea na amekuwa akikutamani kwa muda mrefu. Drama nyingi na kubwa zinakuja zaidi. Jipe muda utaona mengi.
Mimi ni mmoja wa watu ambao nilivutiwa mnoo na nyimbo za Christina Shusho kwenye zile album zake za kitambo kabla ya kuharibikiwa na kuanza kuimba kibiashata na mpaka sasa bado zile nyombo zake nazikubali mnoo.
Sio chini ya miaka saba sasa tangu Shusho 'aharibike', binafsi (na watu wengine wengi wenye hekima) kipindi kile kile nilichogundua kuwa Christina amebadilika (kama shabiki wa muziki wake), niliwahi kumwambia (kwa kumwandikia ujumbe kwa sababu niliumia) wa kumuonya na kumshauri kurudi kwenye mstari kwa kuwa anakoelekea ni hatari mnoo, hakusikia.
ila kazeeka aisee huyu mazaView attachment 2976797
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment
wadudu wamekutana wacha wapararuaneView attachment 2976797
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment
Kwakweli ht mi nashangaa huo uzuri wanaousema ni upi na alivyo mfupiMbona nywele zimenyonyoka..
Alaf mnamsifia ni mzr huyu? Ama kwel Tz wengi ni walevi wa pombe chafu
Mond ni kama Didy wa Bongo hasa kwa wakina dada... Lazima aliwe.