Christimas wishes from my x

That is the mistake that i dont want to do babu.
Huko alikoamua kwenda aendelee nako, awaimbie hao.

Koku mdogo wangu,

Kuna mtu alinambia kuwa dhambi ya kuunganisha miili ni kubwa kuliko zote kwani kila ukimwona mtu yule unakuwa kama unatenda dhambi tena!!

Amini usiamini, huyu jamaa atabaki kuwa wako milele hata kama anaweza asiwe namba moja...Hata yeye najua analitambua hilo!!

Nahofia msije kuanza kuchonoana baada ya kuwaingiza watu wengine kwenye loop!

Babu DC!!
 
Nimeussoma ushuhuda wako Kande K kwa makini saana.
Kwa nini mnapenda kuwafanyia wenzenu hiviii. Kwa ujinga wako umemfanya mwenzio aingie ktk ndoa asiyoifurahia. Mbaya sana.
Ushauri wako nimeupokea but, it is not that easy. Miracle is needed here

My regret. Maji yamekwisha mwagika.Nimetoa ushuhuda huu ili na waliokwenye situation hizi watafakari maamuzi yao.
 
My regret. Maji yamekwisha mwagika.Nimetoa ushuhuda huu ili na waliokwenye situation hizi watafakari maamuzi yao.

kwa mpiganaji maji hua hayamwagiki kirahisi, we rudi tu mkatengeneze maisha.
 

Yeye kashawaingiza mbona? Zaidi ya mmoja babu yangu.
Sijui yalomkuta huko ni nini.
Atajibeba babu
 
Vipi baada ya hapo hadi leo imekwaje?
 
Tukiachana na maumivu aliyokupatia..bado wampenda?
 
Ila back then watu walijua kutiririsha hoja. Hakukuwa na silly jokes, kuharibu nyuzi kama miaka hii.
 
Hope this message was sent by a person who is at ward number 1 at BUGANDO HOSPITAL
 
Kwani wish inashida gani? Pokea tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…