Christian Gregory- Chakubanga

You are right.

Wengi wamekufa masikini kama akina Daudi Tingatinga, George Lilanga, Philip Ndunguru ( msanii wa kwaza wa Gazeti la Sani aliyebuni characters kama akina Dr. Love Pimbi, Kipepe, Lodi Lofa and Ndumilakuwili) pia John Kaduma. Wote Majina yamebakia kuwa historia.

...Mkuu, hapo kwa Phillip Ndunguru umenikumbusha mbali sana! Nakumbuka hao characters walivyotuchekesha sana wakati gazeti la Sani Original lilipoingia mitaani kwa mara ya kwanza na pia kwenye kitabu chake cha Mzee Meko, nadhani ilikuwa miaka ya mwishoni ya 70s! Nchi hii ingekuwa na sheria kali za copyright nadhani mpaka leo hii familia ya Phillip ingepaswa kuwa inafaidika na hawa wanaokopi characters wake kwenye hii Sani ya siku hizi, lakini ndiop hivyo tena.

 
Du tena mzee PWAGU ndiyo hivi tumemalizia kumzika bofya chini hapo.
BURIANI MZEE PWAGU, TANGULIA! - Global Publishers

Duh..mzee Pwagu Mungu amrehemu.
Pwagu.jpg


Mzee Rajabu Hatia ‘Pwagu' enzi za uhai wake
 
Back
Top Bottom