Chris Brown and Rihanna have decided to move in together. Chris Brown this week moved into Rihanna's $12 million Pacific Palisades mansion which she bought right before Christmas (pictured above). That house looks like paradise! 🙂
Huyo dada anali feel hogo la jang'ombe la Chris,inaonekana lilipoota mbawa alikosa raha,hapo ndio utajua hata ukiwa na pesa na kila kitu sio ndio kuwa una raha,hogo ni shughuli ingine!
Huyo dada anali feel hogo la jang'ombe la Chris,inaonekana lilipoota mbawa alikosa raha,hapo ndio utajua hata ukiwa na pesa na kila kitu sio ndio kuwa una raha,hogo ni shughuli ingine!
Jumba la kawaida sana hilo,hv ushaona mansio ya shark o'neil? Ushaona mansion ya filisenhe(50 cent)? Ushaona Mansion ya birdman stunna island? Ushaona crib ya jay z? Chris Brown kakubali kuwa mario baloteri ha ha ha ha(By Le Mutuz Le baharia)