Chris Brown moves in with Rihanna

Chris Brown moves in with Rihanna

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
[h=3][/h]

...80.jpg
............8.jpg

...............0.jpg
..........0.jpg
Chris Brown and Rihanna have decided to move in together. Chris Brown this week moved into Rihanna's $12 million Pacific Palisades mansion which she bought right before Christmas (pictured above). That house looks like paradise! 🙂
 
Ugomvi wa wapenzi wawili usitie lako...nawashangaa sana wale waliofanya maandamano ya concert yake kumbe wenyewe bado wanakula bata.
 
Ugomvi wa wapenzi wawili usitie lako...nawashangaa sana wale waliofanya maandamano ya concert yake kumbe wenyewe bado wanakula bata.
Huyo dada anali feel hogo la jang'ombe la Chris,inaonekana lilipoota mbawa alikosa raha,hapo ndio utajua hata ukiwa na pesa na kila kitu sio ndio kuwa una raha,hogo ni shughuli ingine!
 
Huyo dada anali feel hogo la jang'ombe la Chris,inaonekana lilipoota mbawa alikosa raha,hapo ndio utajua hata ukiwa na pesa na kila kitu sio ndio kuwa una raha,hogo ni shughuli ingine!

hapo hapo mfamaji umemaliza chezea malovee wewe hata ukiwa jemedari lazima ukae..

#RipIsaKijoti
 
Jumba la kawaida sana hilo,hv ushaona mansio ya shark o'neil? Ushaona mansion ya filisenhe(50 cent)? Ushaona Mansion ya birdman stunna island? Ushaona crib ya jay z? Chris Brown kakubali kuwa mario baloteri ha ha ha ha(By Le Mutuz Le baharia)
 
Back
Top Bottom