Chris Brown kiboko; ona alicho mfanyia 50 Cents

Chris Brown kiboko; ona alicho mfanyia 50 Cents

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,700
Dogo Chris Breezy ana fan base kubwa sana... 50 baada ya kukaa nje ya game la muziki kwa muda mrefu, alikuwa kila akijaribu kufanya ngoma ina buma. Kafanya track nyingi sana zote zikawa zinabuma.. Alipotoa remix ya ngoma yake Im the man, akimshirikisha Chris Brown, imefanya poa sana. Cheki YOU Tube, ngoma ina viewres milioni 55 na zaidi.
 
wow.......wimbo wao mzuri....binafsi nimeupenda.
 
Chris brizz tarehe nane october jukwaa moja na ali kiba
1475780870502.jpg
 
Wetu wa Tanzania waliopwaya wajifunze kwa mifano hii na sio kutukana, kusemana vibaya na kufumba kuleta drama za kijinga na wanakuwa hawapai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom