Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Ume Anza kwa tusi, hunaga jema burna😂🤣🤣wtf😬
ngoja comments zijae jae na mimi ntaongezea
Wonders never seize😂🤣🤣Duuh aisee
Dah mkuu🤔, una taka kutu potezea nguvu kazi vijana🤣😂View attachment 2668348
Karibu tulewe kijana!
Nazipenda figo zangu mimiView attachment 2668348
Karibu tulewe kijana!
Huyo mnywa juice😅Dah mkuu🤔, una taka kutu potezea nguvu kazi vijana🤣😂
Acha woga figo ndio kazi yake hiiNazipenda figo zangu mimi
Dah niko Hapa team maji, kwema lakini??Huyo mnywa juice😅
Kwema kabisa naona unatengeneza teamsDah niko Hapa team maji, kwema lakini??
Hapana figo sijui main yaungue mm sina ndugu wakunitolea figoAcha woga figo ndio kazi yake hii
Endelea kunywa juiceHapana figo sijui main yaungue mm sina ndugu wakunitolea figo
Sawa ww ukiona juice mpaya imetoka niambieEndelea kunywa juice
Na sio juice tu, ni juice ya matunda halisi💪Endelea kunywa juice
Punguza woga kijanaKuunda unda vikundi, ni dalili ya uoga🤣😂 Jack palladinno
Safi sanaNa sio juice tu, ni juice ya matunda halisi💪