Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

hii nyimbo ipo kwenye album yake yenye nyimbo ya yahaya na hik kizungu jinsi alivyoimba duh..matamshi shida kwelikweli
 
In life if u want to please everybody, you will please nobody at the end! Hao ndio binadamu...na kwa binaadamu,hauwezi kuwa binaadamu kibinaadamu kwa wanaadamu! Wanaadamu HAWASARIFIKI!..fanya yako kivyako kwa ajili yako,ya kwao waache nayo,waende nayo wenyewe kivyaovyao kwa namna yao wapendavyo.

naona mzuka umepanda ukashuka na mistari yenye vina
 
Ana mwili mtamu huyu dada.....!

==> It's opposite...kati ya vitu asivyo navyo huyu Jide...mwili..NOT ATTRACTIVE AT ALL...NOT SEXY KABISA...tuongelea muziki wake, but body type NOO..NOOO...!!!!
 
samahan lakini we ni mwanamke au mwanaume? kama ww n k halafu unautaman mwili wa mwanamke mwenzako zote ni dalili

Me ni mwanamke ila sina uchoyo wa kutoa sifa...ana mwili mzuri sana...yani ukimkata hicho kichwa halafu huo mwili ukauvalisha uniform...mbona hata form 1 anapokelewa....
 
==> It's opposite...kati ya vitu asivyo navyo huyu Jide...mwili..NOT ATTRACTIVE AT ALL...NOT SEXY KABISA...tuongelea muziki wake, but body type NOO..NOOO...!!!!

Tatizo watu mshazoea mwanamke awe kavimbiana kama puto...
Kitu portable..kinabebeka...hata ikitokea vurugu unamweka begani unakimbia nae...
Sio jitu limevimbiana ikitokea fujo unamuacha wenzio wanakubebea...

Naupenda mwili wake...
 
Me ni mwanamke ila sina uchoyo wa kutoa sifa...ana mwili mzuri sana...yani ukimkata hicho kichwa halafu huo mwili ukauvalisha uniform...mbona hata form 1 anapokelewa....

Yaan ni hana mvuto mi nimeelewa hivyooo, ni potabo lakini hana mvuto hata achutame
 
Tatizo watu mshazoea mwanamke awe kavimbiana kama puto...
Kitu portable..kinabebeka...hata ikitokea vurugu unamweka begani unakimbia nae...
Sio jitu limevimbiana ikitokea fujo unamuacha wenzio wanakubebea...

Naupenda mwili wake...

Sura yake je? ??
 
Ile sura hapana kwa kweli....

Binadamu jamani!! Mi huwa naweza kucomment kwenye tabia za mtu kama ni mbaya lakini su sura maana hakuna aliyechagua kuwa na sura aliyonayo, wote tulizaliwa tukajikuta tuna sura tilizonazo sasa tufanyeje? Tabia ni kitu ambacho mtu anaweza kubadilisha lakini si sura. nI kwa neema ya Mungu Muumbaji tu kila mtu amejikuta na sura aliyonayo basi.
 
In life if u want to please everybody, you will please nobody at the end! Hao ndio binadamu...na kwa binaadamu,hauwezi kuwa binaadamu kibinaadamu kwa wanaadamu! Wanaadamu HAWASARIFIKI!..fanya yako kivyako kwa ajili yako,ya kwao waache nayo,waende nayo wenyewe kivyaovyao kwa namna yao wapendavyo.

Aiseee kama comments zingekua zinahifadhika basi nahisi hii yako ningeiifadhi peke yake kwa heshima yako...sijui umewaza nini....
:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Binadamu jamani!! Mi huwa naweza kucomment kwenye tabia za mtu kama ni mbaya lakini su sura maana hakuna aliyechagua kuwa na sura aliyonayo, wote tulizaliwa tukajikuta tuna sura tilizonazo sasa tufanyeje? Tabia ni kitu ambacho mtu anaweza kubadilisha lakini si sura. nI kwa neema ya Mungu Muumbaji tu kila mtu amejikuta na sura aliyonayo basi.

Binamu we acha tu....nshamuomba Mungu msamaha....

Ila wanasema ubaya ni kipimo cha uzuri...
 
Back
Top Bottom