Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

Me ni mwanamke ila sina uchoyo wa kutoa sifa...ana mwili mzuri sana...yani ukimkata hicho kichwa halafu huo mwili ukauvalisha uniform...mbona hata form 1 anapokelewa....

Yes ana umbo zuri dogo dogo, na uzur wa kawaida sana yani, confidence inamfanya aonekane ni mwanamke mrembo zaidi ya WEMA SEPETU, jide she has a confidence bhana, anajielewa, mwanamke kama hujiamini si kitu
 
Kweli ana confidence, na ndiyo inayomuongezea value...Nliwahi kusoma sehemu kuwa Cleopatra anayeaminika kuwa mwanamke mzuri zaidi duniani wala hakuwa mrembo kuliko wanawake wote wa kipindi hicho wala hiki cha sasa....But she got brain and confidence....

Halafu bina kimbaumbau kama Jide ukimkuta naked....we huchoki kumuangaliaaa...sio mitukunyema minyama inamning'inia....
 
Sasa mtu anaishi katavi ameshazoea kuona akina mama wanaoamkia kwenye mashamba ya mpunga kwanini asimuone Jide ni Mrembo wa kufa mtu? Hajawahi kumuona live zaidi ya insta na luninga unategemea atamchukuliaje jide?

Heheheee umenikumbusha Katavi kwa Wakwe zangu....
 
1415039231830.jpg

Super Woman
 
Sasa mtu anaishi katavi ameshazoea kuona akina mama wanaoamkia kwenye mashamba ya mpunga kwanini asimuone Jide ni Mrembo wa kufa mtu? Hajawahi kumuona live zaidi ya insta na luninga unategemea atamchukuliaje jide?

hahahaaaaaaa
hahaaaaaaa
 
Sasa mtu anaishi katavi ameshazoea kuona akina mama wanaoamkia kwenye mashamba ya mpunga kwanini asimuone Jide ni Mrembo wa kufa mtu? Hajawahi kumuona live zaidi ya insta na luninga unategemea atamchukuliaje jide?

Hhhhhhaaaaaaa umeuaaaaa
 
Me ni mwanamke ila sina uchoyo wa kutoa sifa...ana mwili mzuri sana...yani ukimkata hicho kichwa halafu huo mwili ukauvalisha uniform...mbona hata form 1 anapokelewa....
Kwahiyo kichwa kimebeba sura la kizee
 
Back
Top Bottom