Eliza wa Tegeta
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 251
- 108
Mkuu,CCM kwenye uchaguzi wa Arumeru imekuwa ikiji contradict kwa extent ambayo hana mtoto mchanga anaoweza kung'amua. Haihitajiki mtafsi kuwaeleza watu aina ya chama na watu wanaokiongoza na malengo yao kwa Watz. Kwa msingi huu na kwa kwa mfano huu mdogo wa "helcopter hatutumii then tunatuamia" ni tochi ya kuwaambia wenye akili timamu wasiipe kura CCM chama cha Matapeli na waongo. Kitakachoshangaza ni kuwa bado waliofanywa mazezeta na CCM watakipigia kura.
Lakini kwa vile wamechagua kuwa waongo, wajitahidi kuwa na kumbukumbu basi, maana wanawakanganya wana Arumeru sasa!Mkuu, mtu mwongo siku zote huwa hana haya (aibu), yupo tayari kula matapishi yake.
Hivyo usiamini walisemalao, they really don't mean it!
Wako tayari kusema hapana huku wakimaanisha ndiyo and vice versa.
Wana jf naomba namba ya simu ya Kibajaji nimuulize imekuaje wakaleta hiyo chopa , kwani kwa masikio yangu ninimsikia akisema kuwa cdm inatumia milioni 60 kugaramia hiyo chopa kwa siku? wao vipi?Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
Pooooh!
Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
Pooooh!
1.CDM ni chama cha msimu..Kelele za mpangaji hazimzuwii mwenye nyumba kupata usingizi.......By JK.Wajidai wao baba vyama vingine watoto sasa inakuwaje baba anamwiga mtoto au ndo maujanja yameisha? CCM wamekwenda kuburudisha wananchi wa Arumeru na ndo maana watu wakiona lile gari la TOT basi wanakimbilia mkutano na CCM inajifariji "timepata umati mkubwa" Hv bado Original Comedy bado wapo Arumeru wakijimaliza kisanaa au wamerudi Dar.?
Katika hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January Makamba ili wapangiane routes na mikakati!
Helikopta hiyo ni ya kampuni ya Everrett iliyoko jijini Dar-Es-Salaam, na ina Registration No:5H-EXP.
Chopa hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 4 imetua Kisongo mnamo saa 5 asubuhi hii.
(Picha hii chini siyo ya Arusha, lakini chopa yenyewe ndiyo hiyo exactly)
View attachment 50442
Kwani hawa si walisema kutumia chopa ni ufisadi?
ccm iko hoi sana huku arumeru.
Chopa haitabadili matokeo!
Mkuu,
Hivi huyu Dovutwa ndio alisema kuwa Vijana wanakaa kijiweni kama Solar Power?