Katika
hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta
chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani
akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January Makamba ili wapangiane
routes na mikakati!
Helikopta hiyo ni ya kampuni ya Everrett iliyoko jijini Dar-Es-Salaam,
na ina Registration No:5H-EXP.
Chopa hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 4 imetua Kisongo mnamo saa 5
asubuhi hii.
(Picha hii chini siyo ya Arusha, lakini chopa yenyewe ndiyo
hiyo exactly)
View attachment 50442
Walisema ni ufisadi kutumia chopa...vipi iemkuwaje wanaiga....hawana original ideas. ni copy & paste
Maji ya shingo.....Mwigulu si alisema kutumia helcopter ni ufisadi?
Ama kweli nyani haoni ku.ndu.le.
Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
Pooooh!
Wanakumbuka shuka tayari kumeshakucha.
Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
Pooooh!
CCM kwenye uchaguzi wa Arumeru imekuwa ikiji contradict kwa extent ambayo hana mtoto mchanga anaoweza kung'amua. Haihitajiki mtafsi kuwaeleza watu aina ya chama na watu wanaokiongoza na malengo yao kwa Watz. Kwa msingi huu na kwa kwa mfano huu mdogo wa "helcopter hatutumii then tunatuamia" ni tochi ya kuwaambia wenye akili timamu wasiipe kura CCM chama cha Matapeli na waongo. Kitakachoshangaza ni kuwa bado waliofanywa mazezeta na CCM watakipigia kura.na lusinde alisema,siku zote askari wa nchi kavu ndio huwa wanateka nchi.cdm wanapita andani,ccm wabateka jimbo mchana kweupe.... Sasa leo na ccm wanataka kupita angani,angalieni msije mkagongana huko kwenye atmosphere...