Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

Ndo hasara za kuiga kila kitu chopa mbovu hizi zitawamaliza masisiem wenyewe kabla hawajashuhudia Lowasa anaingia IKULU.

Wameshaiga sana ila wanachotaka kuiga sasa hv ndiyo funga kazi. Eti nao wamepanga kuiga kumpigia kura Lowasa.
 
Mkosamali alisema wakurugenzi wa fastjet na precision wanawazidi akili nanukuu "panda ndege ya serikali kama hudondoki nayo".
 
Tatizo mnaiga sana, mmeona Lowasa ana helicopter mkaenda fata na nyie....
Lowassa kaanza weka bendera mitaami na kwenye makutano na nyie mmeenda tuchafulia view....
 
Acha roho mbaya mimi na wewe tuko njia moja.kumuombea mtu mabaya hiyo sio sawa .hii ni siasa tu baada ya uchaguzi hayo mambo ya kutompenda mtu kisa siasa haisaidii chochote
 
Hii taarifa ungesubiri ikamilike ndiyo utuletee na hiyo chopa ni kiherehere tu, itaharibikiaje chini!
 
Ni laana tuuu na bado, mmeibia watz, mmeua watu, na bado mnawatukana ni malofa na wapumbav sababu wamekuwa wakiwapa kura kwa nguvu ya kofia, urongo na sasa ya Fiesta....haka kakifutu kangefilia mbali !!!
 
Katika hali ya kushangaza,chopa inayotumiwa na mgombea ubunge jimbo la Mtera imepata hitilafu na kushindwa kuwaka,imepata hitilafu ikiwa ktk kijiji cha Handali wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Haha..si wakatengue viapo vyao kwamba watatumia barabara ili wawe karibu na wananchi na kumuenzi magufuli?Au kutembea kwa magari kuliwachelewesha kufika kwa wazee.....Sasa vipi ramli imewaambia chopa ndio mvuto kwa CDM na Lowasa?Au ndio njia ya dharura kuwahi renew issue za wazee?
 
Hii taarifa ungesubiri ikamilike ndiyo utuletee na hiyo chopa ni kiherehere tu, itaharibikiaje chini!
Haha...ulitaka iharibikie juu ..jamaa wafe..kweli mmechoka waona hawa jamaa..Hizo machine ni kazi za mikono ya binadamu..na kuharibika sio routine ni accident na nature ya kazi za mikono ya binadamu.
 
Back
Top Bottom