Badala ya kununua au kukodi chopa za kufanyia kampeni fanyeni kampeni kwa kutatua kero za wananchi (maji, madawati, umaskini, n.k) matunda yataonekana. Wanachi washajua kuwa mbunge mmoja wa upinzani hawezi kuleta kisima hata kimoja kwanini wapoteze kura zao?
Duh! chopa 3 kwenye jimbo moja? kweli CDM wana hela
Kwa hiyo wewe unajua hizo kazi kama za kuchimba visima ni za wapinzani?, kwa pesa ipi, ya ruzuku!?unataka kutukanwa wewe..hawa pendi ushauri hawa wanajua kila kitu,kwanza wanasema hiyo ni kazi ya serikali wao kazi yao ni porojo za majukwaani na kuorodhesha matatizo ya nchi bila kuonyesha utatuzi
Kwa hiyo wewe unajua hizo kazi kama za kuchimba visima ni za wapinzani?, kwa pesa ipi, ya ruzuku!?
CCM walishawahi kuchimba kisima kwa pesa za chama??, inaonyesha wewe aidha ni mpotoshaji tu ama ni mbumbumbu wa kutupwa!!!
Badala ya kununua au kukodi chopa za kufanyia kampeni fanyeni kampeni kwa kutatua kero za wananchi (maji, madawati, umaskini, n.k) matunda yataonekana. Wanachi washajua kuwa mbunge mmoja wa upinzani hawezi kuleta kisima hata kimoja kwanini wapoteze kura zao?
Naomba unitajie eneo mojawapo ambalo CCM wamechimba Kisima/Visima au kujenga Barabara kwa kutumia fedha za CCM, Ukiishanipatia hili jibu naomba unifafanulie zile 90,000,000/= Mwigulu alizochukua Bank siku moja kabla ya Uchaguzi zimeenda Kalenga kuchimba visima vingapi?
wenzio wako buze na mkakati wa kuongeza ruzuku kwa kuongeza wabunge. suala la maendeleo kwao ni kibwagizo tu.Badala ya kununua au kukodi chopa za kufanyia kampeni fanyeni kampeni kwa kutatua kero za wananchi (maji, madawati, umaskini, n.k) matunda yataonekana. Wanachi washajua kuwa mbunge mmoja wa upinzani hawezi kuleta kisima hata kimoja kwanini wapoteze kura zao?
Salute kwako KavulataBadala ya kununua au kukodi chopa za kufanyia kampeni fanyeni kampeni kwa kutatua kero za wananchi (maji, madawati, umaskini, n.k) matunda yataonekana. Wanachi washajua kuwa mbunge mmoja wa upinzani hawezi kuleta kisima hata kimoja kwanini wapoteze kura zao?
unataka kutukanwa wewe..hawa pendi ushauri hawa wanajua kila kitu,kwanza wanasema hiyo ni kazi ya serikali wao kazi yao ni porojo za majukwaani na kuorodhesha matatizo ya nchi bila kuonyesha utatuzi
Naomba unitajie eneo mojawapo ambalo CCM wamechimba Kisima/Visima au kujenga Barabara kwa kutumia fedha za CCM, Ukiishanipatia hili jibu naomba unifafanulie zile 90,000,000/= Mwigulu alizochukua Bank siku moja kabla ya Uchaguzi zimeenda Kalenga kuchimba visima vingapi?
mkuu hizo ruzuku za zaidi ya mil 200 ni kodi za kina nani?Ulishawahi kujiuliza ndege ya raisi ni visima vingapi?
Ulishawahi pia kujiuliza yale magari ya mawaziri ya almost milioni mia mbili kila moja, na yale magari ya wabunge ni visima vingapi?
Au wewe hayo macho yako ya "makengeza" yanaona chopa zaCDM tu, ndio zichimbe visima!?, CDM ambao hata hivyo hawachukui kodi kwa wananchi!?
acha maneno ndg yangu, kampeni meneja kawapotezaBadala ya kununua au kukodi chopa za kufanyia kampeni fanyeni kampeni kwa kutatua kero za wananchi (maji, madawati, umaskini, n.k) matunda yataonekana. Wanachi washajua kuwa mbunge mmoja wa upinzani hawezi kuleta kisima hata kimoja kwanini wapoteze kura zao?