..hahahahahahaha....mkuu@Bishanga naona umeamua kuchunwa rasmi..ila kwa Preta umechemsha mkuu
..hahahahahaha..huyo ilikua sitaki nataka...ila pia hapo kwenye dola elf anaweza asiruke kweli..ila mie sijisifu mkuu..nafanya vitendo...Chezeiya hela wewe.. The secretary alivyokuwa mgumu unafikiri nilimpataje........kideti cha kwanza mlimbwnde kama hana bahati huwa namwachia hela ya taxi dola alfu.
Karibu......nipo kwenye lijakuzi 28th floor the fourseasons hotel maeneo ya hydepark hapa london,ila jioni nita fly kwenda new york kuna documents za kusaini.
hahahahaha...karibu hiiKaribu......nipo kwenye lijakuzi 28th floor the fourseasons hotel maeneo ya hydepark hapa london,ila jioni nita fly kwenda new york kuna documents za kusaini.
Karibu......nipo kwenye lijakuzi 28th floor the fourseasons hotel maeneo ya hydepark hapa london,ila jioni nita fly kwenda new york kuna documents za kusaini.
Paloma chop my money
cacico chop my money
Madame B chop my money
amu chop my money
nivea chop my money
Arabela chop my money
........because i don't care....i don't care.
Copy: mabwana zenu wambieni hawana uwezo wa kunifanya lolote mi nna hela bana.
Copy mtu chake.......msalimie Preta mwambie billionea bishanga is on the loose.
Copy: Kongosho .....nimechoka na wanawake vijeba.....nahitaji stimu.
Copy Mamndenyi........mwambie Vin Diesel namuwinda kwa mshale wenye sumu,ama zake ama zangu.
Copy: Baba V......hayakuhuu.
Pamoja na jitihada zote hizi?