Choose your position

No6 huwa natumiaga nikienda sehemu nimebanwa halafu nikikuta choo cha kukali then wachafu napiga hiyo ya kikamanda
 
No6 huwa natumiaga nikienda sehemu nimebanwa halafu nikikuta choo cha kukali then wachafu napiga hiyo ya kikamanda

Kuwa makini usije kudumbukia....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Namba 8 ana hatari sana, maji yatakuwa yanaruka kila atakapoangusha mzigo, sipati picha
 
Namba 6 ipo kiafya zaidi kwenye choo usichokiamini, nilikuwa naitumiaga sana nilipokuwa chuoni IFM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…