With all due respect; hapa tunaongea statisticaly, marekani nadhani ndio inaongoza kwa kubreed binadamu wa ajabu sexualy na morally....Statistics zao zinaonyesha inachangiwa sana na ndoa kuvunjika! this is the result of gradual destruction of the marriage institution! Kwenye statistics kuna exceptions so ni kweli kuna waliolelewa na single parents wakawa vyema!Vigezo Muhimu ni vipi??
Samahani kusema wengi tu wamekulia na single parent .... na watoto wao wamekuwa vema kabisa
unaweza kuchagua vizuri na bado mtu akakubadilikia ndani ya mahusiano... ; human beings are never predictable ...
Mi naona watu wabadilike, kuchagua sana mwisho wa siku unaangukia kwa kimeo.
Ndugu zangu, sikumaanisha kuchaguachagua aimlessly namaanisha kumake sure unaend up with the right partner, uwashirikishe wanazuoni, marafiki na wazazi kwenye mchakato wakom siyo unakurupukia uhuru wako wa kuchagua
uwashirikishe wanazuoni....
With all due respect; hapa tunaongea statisticaly, marekani nadhani ndio inaongoza kwa kubreed binadamu wa ajabu sexualy na morally....Statistics zao zinaonyesha inachangiwa sana na ndoa kuvunjika! this is the result of gradual destruction of the marriage institution! Kwenye statistics kuna exceptions so ni kweli kuna waliolelewa na single parents wakawa vyema!
Ok sory nimetumia neno kali...I am talking about people who potrays abnomal behaviours
Usisumbuke na wewe.
Vipi tena kule?
Mi naona watu wabadilike, kuchagua sana mwisho wa siku unaangukia kwa kimeo.
Bi dada, u are a grown up. Wewe unaona gays na lesbians waliumbwa na Mungu wawe hivyo walivyo?
Who are you to judge anyone?
Mungu aliumba kila mtu na kumpa uchaguzi
wakufanya atakalo ... ndio naamini waliumbwa wawe hivyo ... .. ..
Na we unadhani Mungu aliwaumba? Au?
Who are you to judge anyone?
Mungu aliumba kila mtu na kumpa uchaguzi
wakufanya atakalo ... ndio naamini waliumbwa wawe hivyo ... .. ..
Na we unadhani Mungu aliwaumba? Au?