Sasa kama nyumba ya kupanga. Wapangaji walioishi kabla yetu ndio walikua wachafu.Mi huwa naingia choni kupima ustarabu wa nyumba yoyote nayotembelea
Nikitoka Apo natizama socket za taa zikiwa chafu tuuh natambua hawa jama hayanawi mikono
Kabla ya kupanga si unaenda kukagua nyumba ukiona inamazingira machafu kwanin upange? Au kama ni msafi unaweza tumia gharama zako kuweka mazingira safi inakuwa poa zaidi.Sasa kama nyumba ya kupanga. Wapangaji walioishi kabla yetu ndio walikua wachafu.
Matengenezo Ni haki yenuSasa kama nyumba ya kupanga. Wapangaji walioishi kabla yetu ndio walikua wachafu.
Afu mtu anakubali kisha anajinasibu kastarabikaUnakuta choo hakina kiti wala mfuniko.
🤣🤣🤣Watanzania wanakitu kimewashinda kabisa.
KU FLUSH PUBLIC TOILET. Mimi nimekwenda function nyingi Serena hotel Dar. Lkn ukienda toilet Kama yule mhudumu wa toilet hajaingia hiyo cabin kufanya usafi utakuta Kuna mtu haha flush. Kumbuka tunaoendaga function Serena sio waswahili wa Magomeni. Ni watu na suti zao, benzi zao na wake zao wanaovaa chupi za Bei mbaya. Sasa unajiuliza huyu mheshimiwa inamaana home ana flushiwa na mkewe?
Sasa maajabu utayaona Muhimbili. Unaweza usile siku tatu.
Nilipokua Mlimani Kuna siku nililala hall three kule kwa ma slay queen. Usiku si nikaenda haja ndogo. Kumbe hata warembo Wana vyoo vichafu kuliko sisi. Yaani choo kimejaa mpaka juu mamiss kumbe hawaflash.
Pale ilipo Airtel zamani kulikua na hostel ya UWT inayotumiwa na wadada wanaokuja Dar seminar au kozi fupifupi. Wanaume wakware hasa viongozi walikua wanaponea pale. Sasa rogwa uende hizo toilet zao. Mphuuh. Unajiuliza kumbe Dada zetu mnajua kujipamba nje tu.
Niongeze sauti?
Unakaribishwa kwenye familia, ukiomba uonyeshwe choo, mama anasema ngoja niangalie kuna hali gani kwanza maana hawa watoto huwa hawasafishi. Tena anasema bila aibu.Watanzania wanakitu kimewashinda kabisa.
KU FLUSH PUBLIC TOILET. Mimi nimekwenda function nyingi Serena hotel Dar. Lkn ukienda toilet Kama yule mhudumu wa toilet hajaingia hiyo cabin kufanya usafi utakuta Kuna mtu haha flush. Kumbuka tunaoendaga function Serena sio waswahili wa Magomeni.
Ni watu na suti zao, benzi zao na wake zao wanaovaa chupi za Bei mbaya. Sasa unajiuliza huyu mheshimiwa inamaana home ana flushiwa na mkewe?
Sasa maajabu utayaona Muhimbili. Unaweza usile siku tatu.
Nilipokua Mlimani Kuna siku nililala hall three kule kwa ma slay queen. Usiku si nikaenda haja ndogo. Kumbe hata warembo Wana vyoo vichafu kuliko sisi. Yaani choo kimejaa mpaka juu mamiss kumbe hawaflash.
Pale ilipo Airtel zamani kulikua na hostel ya UWT inayotumiwa na wadada wanaokuja Dar seminar au kozi fupifupi. Wanaume wakware hasa viongozi walikua wanaponea pale.
Sasa rogwa uende hizo toilet zao. Mphuuh. Unajiuliza kumbe Dada zetu mnajua kujipamba nje tu.
Niongeze sauti?
aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi huwa naingia chooni kupima ustarabu wa nyumba yoyote nayotembelea.
Nikitoka Apo natizama socket za taa zikiwa chafu tuuh natambua hawa jama hayanawi mikono.
unakubaliana na matumizi ya choo Cha kukaa kwenye public toilets?Ustaarabu wetu ni mdogo sana
Ni kweli choo na vyumba vya kulala wengi usafi ni shida maana chumbani anajua hakuna wa kuingiaWatz 90%wachafu sanaa