Choo kisicho na maji

Choo kisicho na maji

Masoud Mwakoba

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
129
Reaction score
19
Shida inakuja pale ambapo wewe ni mgeni,mwenyeji uliyemtembelea nyumbani kwake kuna tabia ya kutoka na maji ndani ukiwa unahitaji kwenda chooni,hii namaanisha kwamba chooni huwa hakuwekwi maji
 
Alafu ndo umefika chooni, bila kukagua kwa kuwa umezoea kawaida kuwa chooni kuna kuwaga na maji, unaanza kuchusha vitu vikubwa kwa raha zako, unamaliza ndo unashituka hakuna maji wala toilet paper. choo chenyewe ni cha nje alafu wamama wakiswahili wamejianika nje wanasukana.
 
Shida inakuja pale ambapo wewe ni mgeni,mwenyeji uliyemtembelea nyumbani kwake kuna tabia ya kutoka na maji ndani ukiwa unahitaji kwenda chooni,hii namaanisha kwamba chooni huwa hakuwekwi maji

Masoud Mwakoba, kwa hiyo unataka tuanze kujadili choo kisicho na maji? Au kwa nini watu hawaweki maji chooni? Au ulikuwa unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom