Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Kwakweli zimependezesha choo!Mambo ya Spanish Tiles hayo
Mkuu hivi vyoo ni maalumu kwa wapenzi!How do you share a toilet like that? Unless ni cha chumbani kila mmoja na chake lol
Kunabaadhi ya vyoo ukiingia huto tamani kuendelea na zoezi la kijisaidia,hichi kinahamasisha kuendelea na zoezi!Mpaka raha ya kukitumia inakuja kwa njisi kilivyo safi.
Kwa sababu wapenzi wakiamua kujisaidia kwa pamoja,kama sehemu ya kuimarisha zaidi penzi lao!Kwanini viwili kwenye chumba kimoja?
Kubeba mavi ndiyo kazi ya choo,cha ajabu ni nini mkuu?pamoja na uzuri kinabeba mavi
Kwa sababu wapenzi wakiamua kujisaidia kwa pamoja,kama sehemu ya kuimarisha zaidi penzi lao!Wanatumia wawili kwa wakati mmoja?
Kwa sababu wapenzi wakiamua kujisaidia kwa pamoja,kama sehemu ya kuimarisha zaidi penzi lao!
Kwanini viwili kwenye chumba kimoja?
Mkuu kama mnaweza kufanya mambo makubwa kabisa na mpenzi wako,kwanini mshindwe kufanya jambo dogo kama hili?Hakuna icho kitu mkuu sio kila kitu unaweza fanya na mpenzi/mke wako, mambo mengine huwezi
Mbona mimi mke wangu huwa ananisindikiza chooni?nadhani hii inategemea na mpangilio wa wahusika katika maisha yao ya kimapenzi!Kweli, make hata akupende vp mpenzi wako, hawezi kukusindikiza chooni.
Pia, kwa ubunifu wao woote huu, yani kwenye hizo toilet roll ndo umeishia apo kweli?
Mkuu kama mnaweza kufanya mambo makubwa kabisa na mpenzi wako,kwanini mshindwe kufanya jambo dogo kama hili?
Ni sawa mkuu,lakini hili jambo limekaa kisaikologia sana!kwa mfano mimi sipendi kabisa kumuona mke wangu anajifungua,lakini kuna watu wanapenda sana zoezi hili!Mkuu kila kitu kina mipaka yake, nimuone hadi anakuny.aje? Hapana ntakua namkosea adabu